February 19, 2018

Kikosi cha Real Madrid kimeendelea kuimarika katika Ligi Kuu Spain 'La Liga' baada ya kuilaza Real Betis ikiwa kwao kwa jumla ya mabao 5-3 na kuifanya sasa kufikisha jumla ya alama 45 ikiwa imecheza michezo 23.

Mabao ya Real Madrid yalitiwa kimiani na Asensio (11' 59'), Sergio Ramos (50'), Cristiano Ronaldo (65') na Kareem Benzema (92').

Real Betis walijipatia mabao yao kupitia Mandi (33'), Nacho (37') na Sergio Leon (85').





Tano bora ya msimamo wa La Liga ulivyo hivi sasa










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic