PICHAZ: AZAM FC WAKAMILISHA MAANDALIZI DHIDI YA MTIBWA, KIPUTE KINAPIGWA LEO
Kikosi cha Azam FC kimepiga tizi lake la mwisho jana kuelekea mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya mtibwa utakaopigwa mjini Morogoro leo.
Azam itakuwa dhidi ya Mtibwa katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Manungu, mjini Turiani Morogoro majira ya jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment