April 27, 2018



Mechi mbili zimepigwa leo Ijumaa katika Ligi Kuu Bara kwenye viwanja tofauti.

Katika Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe, Njombe Mji FC imeibuka na ushindi finyu wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda.

Huko Sokoine Mbeya, Mbeya City ilikuwa mwenyeji ikiialika Singida United na mechi ikamalizika kwa sare ya bao 1-1.

Msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya mechi za leo upo namna hii.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic