June 11, 2018


John Bocco - Mchezaji Bora wa Mwaka
Tuzo ya Msimamizi Bora wa Mchakato wa Mabadiliko imeenda kwa wahusika wote waliosaidia katika kitengo hicho.

Selemani Matola - Mshindi wa tuzo ya heshima ya mwaka.
Salim Abdallah 'Try Again' - Kiongozi Bora wa Mwaka
Ubungo Terminal - Tawi Bora la Mwaka

Haji Manara - Mhamasajishaji bora wa mwaka.
John Bocco - Goli bora la mwaka (Simba SC vs Mwadui FC - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Emmanuel Okwi - Mshambuliaji bora wa mwaka.
Shiza Kichuya - Kiungo Bora wa mwaka.
Aishi Manula - Kipa Bora wa Mwaka.
Rashid Juma - Mchezaji bora Chipukuzi wa mwaka.

Tuzo za Mo Simba Awards zinaendelea hivi sasa katika Ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

5 COMMENTS:

  1. Simba imekuwa Klabu ya kwanza nchini kuwa na utaratibu huu wa kutoa Tuzo. HONGERENI SANA SANA. Wachezaji wote wa Simba kila mmoja anastahili Tuzo kwa nafasi zao. Endelezeni hii rekodi kila mwaka kuwe na utoaji Tuzo. Ni muhimu kuwa na mwendelezo huu. Big Up Simba.

    ReplyDelete
  2. Safi sana inaonesha jinsi gani Simba inavyoanza kujengeka kama taasisi inayojitambua na ikiwezekana zoezi hili la kutoa zawadi liendelee kwa ngazi za wilaya na mikoa hadi vitongoji mbali na mkoa wa Daresalam ili kuthamini juhudi ya kila mwanasimba nchini anaefanya vizuri kuhakikisha Simba inaendelea kuwa bora zaidi.

    ReplyDelete
  3. rashidi juma kajitahidi sana kwenye kombe la sportpesa super cup kasitahili namuomba aendelee na kipaji chake atafika mbali.

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV