June 10, 2018



Ukiachana na Mzee Akilimali anasubiriwa kwa hamu ili atimuliwe kwenye mkutano na wanachama wa Yanga, anayesubiriwa kupokewa kwa hamu ni Yusuf Manji.

Wanachama wa Yanga wanamsubiri Manji kwa hamu kubwa ambaye amealikwa katika mkutano huo.

Manji aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Yanga, atakwenda katika mkutano huo kama mwalikwa.

Kuna taarifa ameshawasili, lakini hazijathibitishwa. Mkutano wa wanachama wa Yanga unafanyika Oysterbay jijini Dar es Salaam, leo.

“Tumeambiwa yuko kwenye ofisi kule, sasa tunasubiri tuone kama ni kweli,” alisema mwanachama mmoja akiwa na wenzake waliokuwa na shauku ya kumuona Manji.

7 COMMENTS:

  1. Here is the question that many look forward to hear correct answer. Is Yanga's leadership and fans desperately want Manji personally or his wealth? If the answer "both", Majoriy currently believe that Manji's populariy and wealth already suffered setbacks with events and no longer be in a position that he enjoyed before.

    ReplyDelete
  2. Desperate times nere desperate measures.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  5. Wekeni wazi kazi za kamati mpya ni zipi na wajibu wao ni upi tofauti yake na uongozi uliochaguliwa kikatiba? Pili wekeni wazi mapendekezo ya kamati ya mabadiliko yalikuwa ni nini? Je yaliyopitishwa ni yapi? Na kwanini wapewe ten mwezi 1 kuleta maoni...ni kitu gani au mambo yapi ambayo wanayafanyia kazi? Kwanini hamuweki wazi wawekezaji ambao wanainterest...na mgawanyo ukoje? Mchakato uwe wazi kama wa Simba si kwa kificho kama unavyofanyika sasa. Sasa kama mwenyekiti aliyejiuzulu afanyi kazi za klabu itakuwaje ikiwa wanachama hawajaridhia kujiuzulu kwake? Uchaguzi kwanini usifanyike haraka ndani mwezi sio miezi 2? Nafasi gani za kujaza?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic