MWIGULU AWAPONGEZA SIMBA KUWEKA KAMBI UTURUKI LAKINI AWAPA ONYO MOJA
Mlezi wa klabu wa Singida United ambaye pia ni mnazi mkubwa wa Yanga, amefunguka na kuot apongezi zake kwa Simba juu ya kambi waliyoweka Uturuki.
Nchemba ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, amesema kitendo cha Simba kuweka kambi hiyo ni jambo zuri na lenye manufaa kwa soka la Tanzania.
Kiongozi huyo amewapongeza Simba kwa kambi hiyo kuelekea na msimu mpya wa ligi lakini akiwaonya wasitarajie mteremko pindi ligi itakapoanza.
Nchemba amefunguka na kueleza msimu ujao utakuwa ni mgumu zaidi kutokana na wingi wa mechi zilizopo ambapo timu zimeongezeka na kufikia 20 kutoka 16.
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea Tanzania Agosti 4 au 5 tayari kwa tamasha lake la Simba Day ambalo kufanyika tarehe 8 Agosti kila mwaka.
KLABU YA YANGA INAHUJUMIWA YAANI KUNA "KIRUSI" PALE YANGA SIJUI NI NANI INAWEZEKANA MTANDAO HUU UMESUKWA KWA MUDA MREFU...UNAMUHUSISHA KOCHA MWINYI ZAHERA, HIVI HUYU KOCHA ATAWEZAJE KUKATAA BEKI AMBAYE ANAKUJA KUZIBA MAPENGO YA NAMBA 2 NA TANO? UNAACHA WACHEZAJI, HALAFU UNAPEWA BEKI MZIMBABWE BURE HALAFU UNAMKATAA...KWELI? HAYA UNAWAACHA WACHEZAJI AMBAO WAMEKUHUDUMIA MSIMU MZIMA KWA KUTOLIPWA MSHAHARA.....BADO HAUJAFANYA USAJILI WA KUZIBA MAPENGO YA WACHEZAJI WALIONDOKA...BEKI NAMBA 2 NA 5, WASHAMBULIAJI NAMBA 9, 10, 11, KIUNGO NAMBA 6....HALAFU UNATAKA WATANZANIA ASILIMIA 55% AMBAO NI WAPENZI WA KLABU WAJE UWANJANI, KUANGALIA TIMU IPI? NATABIRI MAPATO YA UWANJANI KUPOROMOKA, HAMASA YA KWENDA KWENYE MECHI KUPUNGUA....HATIMA YA SOKA LA TANZANIA KUPOROMOKA..
ReplyDeleteMbona hujiamini na comments zako hata swala lisilohusu Yanga unachomeka Mambo yako?
ReplyDelete