SIMBA YATANGAZA RASMI MAJINA YA KAMATI YA UCHAGUZI
Uongozi wa klabu ya Simba umeteua rasmi wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi ambao unatarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Kamati hiyo imeteuliwa kufuatia agizo la Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutoka siku 75 kwa klabu hiyo pamoja na Yanga kwa ajili ya kufanya uchaguzu ili kuwapata viongozi wapya.
Wajumbe hao ni
Boniface Lyamwile - Mwenyekiti
Steven Ally - Makamu Mwenyekiti
Issa Batenga - Katibu
Idd Mbita - Mjumbe na
Richard Mwalwiba - Mjumbe
Kamati hiyo utatabgaza tarehe ya uchaguzu hivi karibuni na kuitisha uchaguzi wa wajumbe wa bodi ya Simba Sports Club Company Limited ambao watachaguliwa kwa mujibu wa ibara ya 27 ya katiba ya Simba SC Company Limited ya mwaka 2018.
hakuna katiba ya Simba Sports Company Limited jamani. Katiba ni ya Simba Sports kampuni inayoendesha club ndiyo Simba Sports Company Limited.Itakayoenda kwenye hisa ni Simba Sports Investment Company Limited ndo kwenye hisa IPO itatengenezwa huko ni utaratibu wa kisheria please.Mkururugenzi wa zamani SSC
ReplyDeletenaomba uteuzi wa kamati ufuate utaratibu haiwezekani kamati ya utendaji ya simba kawa bodi ya simba sports club mnachanganya wanachama. Bodi ya limited kampuni inakuwa kwenye memart ya kampuni itakayosajiliwa BRELA kama wakurugenzi wa kwanza ambao wataendesha kwa mwaka mmoja mpaka mkutano mkuu wa wanahisa sio wanachama.
ReplyDelete