YANGA NA MAZOEZI YA KUFA MTU MOROGORO, PICHA ZAIDI ZIKO HAPA
Na George Mganga
Kikosi cha Yanga kimeonesha dhamira kubwa ya kuwaangamiza Waarabu, USM Alger katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika utakaopigwa Agosti 19 jijini Dar es Salaam.
Yanga inaendelea kujifua na mazoezi kwa ajili ya mechi hiyo ikiwa pia ni sehemu ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara mjini Morogoro ambapo kikosi kimewea kambi ya wiki mbili.
Tazama picha zaidi za mazoezi hayo hapa
HIZO PICHA UNAIBA KWENYE UKURASA WA YANGA WA INSTAGRAM, WEZI WAKUBWA NYIE
ReplyDelete