SALAH AING'ARISHA MISRI DHIDI YA NIGER KUFUZU AFCON
Mchezaji wa klabu ya Liverpool Mohammed Salah jana ameifungia timu yake ya Taifa ya Misri mabao mawili pamoja na kutengeneza nafasi mbili katika mechi dhidi ya Niger.
Katika Mchezo huo Misri imeshinda mabao 6 kwa sifuri dhidi ya Niger ukiwa ni wakuwania kusaka tiketi ya kucheza fainali za AFCON mwakani.
Misri imeshika nafasi ya pili katika kundi hilo (Kundu J) ikiwa na alama 3 baada ya kushinda mchezo huo.
Nafasi ya kwanza inashikiliwa na Tunisia yenye point 3 huku nafasi ya tatu inashikiliwa na Swaziland na ikikaliwa na Niger yenye alama moja pekee.








This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteSalehe jembe kama mmekosa kazi yakufanya mseme na siyo kutuandikia habari zisizokuwa na ukweli. Tangu mini Switzerland ikawa Africa kundi moja na misri Tunisia na Niger.mnaboa sana.mmekaa kiyanga yanga tuu.yanga imewajaa kichwani. Au mnatuona wasomaji hatujaenda shuke?
ReplyDeleteSalehe jembe kama mmekosa kazi yakufanya mseme na siyo kutuandikia habari zisizokuwa na ukweli. Tangu lini Switzerland ikawa Africa kundi moja na misri Tunisia na Niger.mnaboa sana.mmekaa kiyanga yanga tuu.yanga imewajaa kichwani. Au mnatuona wasomaji hatujaenda shuke?
ReplyDeleteSwaziland sio Switzerland usichanganyikiwe.
ReplyDelete