October 1, 2018


Video Queen maarufu nchini Tanzania, Lynn amesema kuwa yupo tayari kuolewa na msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na hata mpenzi wake anajua hilo.

Akizungumza na Waandishi kwenye red carpet ya Biko Jibebe Challenge usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Linny amesema kitokea nafasi hiyo atakuwa tayari.

“Yeah! kwa sababu ni mwanaume, siwezi kusema hapana,” amesejibu Lynn.

Utakumbuka kuwa Lynn alipata umaarufu mkubwa pindi alipotokea kwenye video ya msanii Rayvanny inayokwenda kwa jina la Kwetu.

1 COMMENTS:

  1. ha ha ha ha ha...ikitokea...Hamorapa..anakuhitaji.......Je

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic