December 13, 2018



Haruna Moshi ‘Boban’ sasa ni mali ya Yanga na kinachosubiriwa ni kuanza kazi tu na wakali hao wa Jangwani.


Baada ya majadiliano ya muda mrefu, Boban kutoka African Lyon na Yanga wamekubaliana kuingia mkataba wa miezi sita.


Sasa ataanza kazi mara moja ili kuongeza nguvu katika kikosi cha Yanga ambacho kinaongoza Ligi Kuu Bara.

Boban amewahi kuichezea Simba kwa mafanikio makubwa. Alijiunga nayo mwishoni mwaka mwaka 2003 akitokea Coastal Union ambayo baadaye alirejea tena na kuichezea.

BONYEZA HAPA ===> SALEH JEMBE SPORTS
 
Kwa wasomaji wa Blog yetu pendwa ya michezo hakikisha una nifollow INSTAGRAM kwa kubonyeza link iliyopo hapo Juu tutakudodoshea Upates zote za michezo kuanzia sasa.
Asante

BONYEZA HAPA ===> SALEH JEMBE SPORTS

2 COMMENTS:

  1. Hapa Kocha Zahera amechemka kindoki na Boban

    ReplyDelete
  2. Mie nauliza tu. Boban na Ngasa nani zaidi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic