Kocha Hans van der Pluijm amefukuzwa kazi na Azam FC ikiwa ni siku moja baada ya kipigo kutoka kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba.
Pluijm ameondolewa baada ya kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Simba.
Msaidizi wake amesitishiwa mkataba wake kama ilivyo kwa bosi wake. Taarifa kutoka ndani ya Azam FC zimeeleza.
Uongozi wa Azam FC unatarajia kutangaza rasmi Jumatatu.








Viongozi wa timu ambazo hazijapambana na simba kwa mechi za viporo na za mzunguko wa pili wawe wavumilivu kama wa yanga , kwani kagere atasababisha makocha wote kutimuliwa
ReplyDelete