February 2, 2019


Ni kwenye mchezo wa raundi ya nne wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Yanga uliomalizika kwa Yanga kushinda kwa penati 5-4, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. 

Baada ya kufungwa bao la pili, Kocha wa Biashara United akaamua kumtoa nje kipa wake namba moja Nouridine Balora. Kilichofuata ilikuwa ni malumbano kati ya golikipa na kocha wake, na hatimaye kadi nyekundu ikamuangukia golikipa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic