March 25, 2019


Rais atakutana na Wanamichezo hao leo saa nne asubuhi Ikulu jijini Dar ili kuwapongeza na kula nao chakula cha mchana

Pia katika msafara huo atakutana na Viongozi wa TFF na Kamati ya uhamasishaji

Hatua hii ni baada ya Taifa Stars kufuzu kucheza michuano ya Mataifa ya Afrika(AFCON) hapo jana ikiwa ni baada ya miaka 39 kwa kuinyuka Uganda goli 3-0

Aidha, Bondia Hassan Mwakinyo akiwa nchini Kenya juzi usiku alifanikiwa kutwanga kwa KO bondia kutoka Argentina, Sergio Gonzalez.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic