VIDEO: TUYISENGE KIMEELEWEKA YANGA, MWINGINE ATAJWA
WAKALA wa mchezaji wa Simba Mnyarwanda Meddie kagere ambaye ni Patrick Gakumba amefunguka na kusema mazungumzo kati yake na mabosi wa Yanga yanakwenda vizuri na kinachosubiriwa ni kukubali masharti aliyoipa timu hiyo kabla ya kusaini mkataba.
Hiyo ikiwa ni siku chache tangu ziwepo tetesi za usajili wa mshambuliaji huyo kuwaniwa na Yanga katika usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara ambao timu hiyo imeandaa bajeti ya shilingi bilioni 1.5 za usajili .
0 COMMENTS:
Post a Comment