August 29, 2019


Baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara jana, uongoz wa klabu ya Yanga kupitia Ofisa Habari wake, Dismas Ten, umetoa tamko.

"Kuna wakati mpira wa miguu unakupa matokeo usiyoyatarajia, poleni wananchi wote kwa matokeo ya leo, tumepoteza mchezo ni kweli, inauma sana,  hatujatolewa kama wao, hii ni Ligi Kuu Vodacom (2019/20) na ndiyo kwanza inaanza."


6 COMMENTS:

  1. USHAURI MECHI YA CAFCL YANGA VS ZESCO ( UWANJA WA TAIFA)

    Yanga mnatakiwa muirudishe ama muunde au muanzishe kamati ya hamasa ambayo itazunguka mikoani kuhamasisha wanayanga kuja kuipa nguvu timu na kuujaza Uwanja wa Taifa siku ya mechi dhidi ya Zesco.....uwanja mzima uwe njano na kijani....kama mlivyofanya siku ya kilele cha wiki ya mwananchi....

    Kwanza, kampeni hii ianze sasa msisubiri siku 3 mpaka 4 uwanja utakuwa na mapengo na ticket zianze kuuzwa wiki 1 kabla ya mechi.....watu wa mikoani waanze utaratibu wa kujipanga kuja Dar Es Salaam.....hii ni moja ya mechi ngumu sana kwa Yanga lazima wananchi waungane na Yanga wote wawe wamoja na Taifa na serikali itaongeza nguvu kwani uwanja ukijaa itasaidia kuwapa morali wachezaji kujituma

    Pili, Uongozi ulisaidie benchi la ufundi pia itoe motisha kwa wachezaji na kuongeza posho kabla la mechi

    Maandalizi yaanze maramoja na mipango hiyo niliyoitaja Ianze haraka.....sio maneno maneno ni vitendo vinatakiwa....na utekelezaji wa hayo niliyoyataja hapo juu

    UKIMALIZA KUSOMA TAFADHALI FIKISHA UJUMBE HUU MUHIMU KWA VIONGOZI WA YANGA KWA NAMNA YEYOTE ILE

    Ahsante

    ReplyDelete
  2. Mnajifaliji kuwato zesco haihitaji washabiki wengi inahitaji kikosi imara kilicho kamilika

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama kutolewa na ud songo mlivyojazana uwanjan na matokeo mfukon

      Delete
    2. ... kujazana uwanjani, matokeo mfukoni, kikosi imara chenye Wabraziri wataalii waliosajiliwa rasmi kwa ajili ya kuivusha timu kwenye level nyingine, mipangilio mizuri ya kuipeleka timu kwenye kambi ya Afrika Kusini n.k

      Delete
    3. kwan ulitaka uwapeleke kwa bibi yako nyambafu wee, et wabrazil kwan wao ni Mungu? au unadhani ni Simba tu ndo inao? au kutolewa ni tija kwetu? wengne tulishaangalia mamachi makubwamakubwa na yanakufa, ulidhani ungependa nani atolewe ili ufurahi zaidi ya Simba? Tambua Mungu anajua kuigawa furaha kwa hyo ukitambua hilo huchongi sana wacha tuone.

      Delete
  3. Lazima benchi la ufubndi liangalie kwa jicho la tatu...bila hivyo........!!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic