August 10, 2019


 FT: Yanga 1-1 Township Rollers

Uwanja wa Taifa

Bao la Rollers limefungwa dakika ya 7 na Phenyo Seremeg
Patrick Sibomana anafunga bao dakika ya 87 kwa mkwaju wa penalti

Patrick Sibomana anakosa penalt dakika ya 31 iliyopanguliwa na mlinda mlango wa Rollers.

Mchezo kati ya Yanga na Township Rollers umekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu uwanja wa Taifa.

Ili kusonga mbele, Yanga inahitaji ushindi wa aina yoyote ugenini mchezo unaotarajiwa kucheza kati ya Agosti 23-25 nchini Botswana.

10 COMMENTS:

  1. Wameshaanza kuitia aibu nchi kama kawaida yao

    ReplyDelete
  2. pamoja na kubebwa..... wamepata penalty ya dhuruma!

    ReplyDelete
  3. Safari imeiva. Hawana uwezo wa kushinda ugenini.

    ReplyDelete
  4. kama wao wameweza kwann yanga wacweze ww unafkr udhaifu ulio nao ww ndo wa mwenzako wamepambana wamecheza na tmu nzur ktk mech zao ya yanga imependeza imeonesha ushndan kulko ya mikia udo songo wabovu tu.

    ReplyDelete
  5. Yanga kapiga kandanda safi kabisa ,,,chochote kinaweza kutokea kwenye soka

    ReplyDelete
  6. Yanga kapiga kandanda safi kabisa ,,,chochote kinaweza kutokea kwenye soka

    ReplyDelete
  7. hao waliokuwa wanaicheka Simba iliyokuwa ikifungwa 5-0 huko lakini kwa Mkapa ni lazima wageni wafungwe sasa wanahitajika kushinda Botswana!

    ReplyDelete
  8. Hamna uwezo wa kushinda ugenini.Township Rollers watashinda kwani Leo walikuwa wanalinda goli lao wakifunguka Yanga hawana cha kuwazuia. Safari imeiva.

    ReplyDelete
  9. Kandanda Safi bila ya ushindi hasa nyumbani, usijidanganye halina mana. Na jambo la muungwana Ni kuwa Simba hawajazomea

    ReplyDelete
  10. Yanga watafanya vizuri endapo viongozi watafanya haya, kumaliza tatizo la madai ya wachezaji, kuiandaa timu vizuri na kufuatilia leseni za wachezaji.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic