September 21, 2014


MAN CITY IMEFANYA JUHUDI YA KULAZIMISHA SARE DHIDI YA CHELSEA LEO BAADA YA ANDRE SHUERRLE KUTANGULIA KUIFUNGIA CHELSEA KATIKA DAKIKA YA 71. LAKINI FRANK LAMPARD AKAKATA MZIZI WA FITINA BAADA YA KUFUNGA BAO KATIKA DAKIKA YA 85. DHIDI YA TIMU YAKE YA ZAMANI KIPENZI YA CHELSEA. HII NI SARE YA KWANZA KWA CHELSEA MSIMU HUU AMBAYO IMESHINDA MECHI NNE MFULULIZO.
VIKOSI VILIVYOANZA LEO
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Mangala, Kolarov, Milner, Fernandinho, Toure, Silva, Dzeko, Aguero.
Subs: Sagna, Nasri, Caballero, Jesus Navas, Lampard, Clichy, Demichelis.
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas, Matic, Ramires, Willian, Costa, Hazard.
Subs: Cech, Luis, Oscar, Drogba, Mikel, Schurrle, Remy.
Referee: Mike Dean (Wirral)
·        











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic