ILE ADHABU YA MKUDE, NYONI NA WENGINE YAMALIZWA KIANA SIMBA
Wakati wengi wakitarajia kuwa hawawezi kuwa sehemu ya mchezo wa jana, wachezaji Clatous Chama, Erasto Nyoni na Gadiel Michael walicheza katika mechi dhidi ya Azam FC.
Watatu hao walikipiga baada ya awali kuelezwa kuwa walipaswa kufikishwa kwenye kamati ya maandili kutokana na tetesi za kuwa walikuwa na makosa ya kinidhamu.
Oktoba 9 mwaka huu Simba walitoa taarifa kuwa watakaa na wachezaji hao ikiwemo Jonas Mkude ambaye hakucheza baada ya kutoka kwenye majukumu ya Taifa Stars lakini jana wameonekana dimbani.
Haijajulikana kama walikaa wakayamaliza au la lakini ilikuwa kama sapraizi kuwaona dimbani wakicheza dhidi ya Azam katika mechi ambayo Simba ilishinda bao 1-0.
Watatu hao ilielezwa hawakwenda kanda ya ziwa katika mechi za ligi ikielezwa kuwa walikuwa na changamoto kadhaa.
Leo uongozi wa Simba utakuwa na kikao na wanahabari majira ya saa sita mchana pengine tusubiri wanaweza kuliweka wazi suala hilo kinagaubaga zaidi.
Hamna lolote wanawaogopa wachezaji
ReplyDeleteMnataka wapewe adhabu ili iweje?....Je mikataba yao na klabu mnaijua ilivyo?Mlikuwepo wakati wanatiliana saini mikataba? Kinawauma nini kama wachezaji na viongozi wamemalizana Kiana?
ReplyDeleteVyura dilini na yenu.Waarabu wanangojea kuwanyonya pua, nyie mnahangaika na Simba.
ReplyDeletePengo la mkude jaa limeonekana na ilikua lazima ishu waimalize kiaina. yule sjui fraga hana uwezo kumzd mkude ndo maana jana azam walimiliki sana dimba la kati
ReplyDeleteacha unazi wewe, hivi nyie ndala mmerogwa au...
DeleteWacha kukariri. Walimiliki dimba la kati halafu wakafanya nini?Walikuwa wakicheza rafu na kucheza kibabe ndio maana wakapewa kadi 4 za njano dhidi ya moja ya Simba.Mkude alicheza mechi za kanda ya ziwa?Walimaliza kuanza kwani Mkude alicheza?Acha kujifanya kocha uchwara. Kila mechi ina approach yake.
ReplyDeleteOngereni wachezaji waliwafokea viongozi kuwa inawahusu nini naa wakakubali. Haya tuyaache halimradi wanacheza mpira hata kama watampiga kocha waachwe hawa ndiyo mastaha tulionao lazima wapewe eshima yao.
ReplyDeleteJana namuona fraga akipiga kazi kubwa na kumsaidia mzamiru kulitawala dimba atakavyo, hayo mengine ni ya waimba taarabu kama wampange mkude kwenye mechi yao dhidi ya pyramid, sisi jana tulitaka kiungo mwenye uwezo wa kucheza mipira ya juu hasa ya goli kiki ili kupunguza presha kwa beki wa kati na fraga alifanya vyema kama tungehitaji kiungo kama mkude kwenye benchi alikuwepo Ndemla. Kinachowauma watu wengi mlikuwa mnaumia Fraga anachofanya ni tofauti na mlivyohitaji ili mtucheke, tareh 4 inakaribia na fraga ndie mkata umeme.
ReplyDeleteUmeandika vizuri sana Derrick, hii ndio analysis sasa....
DeleteFraga si wa mchezo mchezo na siku Yondani akijifanya ubabe wake wa kutemea mate wenzake halafu anakimbia basi ajue Fraga atamfuata hadi nje ya uwanja, kama alivyowafanyia Azam na ilibidi wapunguze kupiga viatu
Deletehamna chochote mikia imehangaika tu mwaka huu.
ReplyDeleteWe nini chura fc a.k.a Snura we subiri waarabu wawapakate eti mnakimbia Dar es salaam kwa kuwaogopa simba alafu mnajiita wa kimataifa kwa record zipi hizo za kucheza best looser eti mabingwa wa kihistoria huo ubingwa wa Ndolanga na Malinzi km nyie mabingwa mbona record zenu Africa hatuzioni fuck u
Deletehiyo tunaita wining tactics unawawini wapinzani isaiokologia kuwa Fulani hachezi,kuna mwaka Hamis Gaga aliingia na bandage mguuni simba wakaamini hachezi kilichotokea wanakumbuka walio kuwepo
ReplyDeleteSimba ni timu kubwa sana Africa ..
ReplyDelete