October 24, 2019


Baada ya kumalizana vizuri na Mbao katika mechi ya Ligi Kuu Bara juzi, ni kama msala umeikumba Yanga kutokana na mshambuliaji wake Maybin Kalengo kupatwa na majeraha.

Kalengo aliumia jana katika mechi mazoezi dhidi ya Pamba FC wakati Yanga ikijiandaa kuivaa Pyramids ya Misri katika mechi ya Kombe LA Shirikisho Afrika.

Kuumia kwa Kalengo kutamfannya akae nje kwa takribani wiki nane ambazo ni sawa na miezi mwili akiuguza sambamba na kuendelea na matibabu.

Mchezaji huyo ambaye ni raia wa Zambia ataukosa mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids FC utakaopigwa CCM Kirumba Jumapili ya wiki hii.

1 COMMENTS:

  1. Wewe mwandishi huna maana, yaani u kibaraka au mpumbavu kabisa...kazi yako ni kuanika madhaifu ya Yanga kila wakati inapokabiliwa na mechi. Kama ningekuona live ningekutukana. Mbwa wewe!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic