Urikhob aliumia katika mechi ya ligi dhidi ya Mbao FC wakati Kalengo akiumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Pamba SC.
Imeelezwa kuwa Zahera amesema kukosekana kwa wawili hao katika mechi dhidi ya Pyramids kwa namna moja ama nyingine kunaweza kukawa na pengo kwao.
Amemtaja pia David Molinga ambaye ataikosa mchezo huo kuwa nayo itapunguza nguvu ndani ya timu sababu bado hajapata kibali cha kuitumikia Yanga kwenye mashindano hayo.
Hata hivyo, Zahera ameeleza atapambana kwa kutumia wachezaji walionao ili waweze kupata ushindi katika mechi hiyo muhimu kwa Yanga.
MUONGO WEWE KUMA TU
ReplyDeletesalehe jembe unazidi ukanjanja
ReplyDeleteukweli unauma!
ReplyDeletewasiopenda ukweli watakutukana sana, sijui walitaka uwaandikie uwongo!
hapo pengo kubwa ni ukhirob anaetengeneza mashambulizi na sio kalengo, kwanza mechi nying anaanzia benchi tofauti na sadney,
ReplyDeleteukweli sadney aliumia kwa kazi kubwa aliyoifanya dhidi ya mbao lkn sio kwamba alipata tatizo kubwa kama anavyosema salehe. huenda akacheza jpili. ni mchezaji muhimu sana kwa mchezo huo