MSOLLA AENDELEZA UMAFIA YANGA, AFANYA MAAMUZI MENGINE MAGUMU Ikiwa ni takribani siku nne zimepita tangu kuvunjwa kwa benchi la ufundi la klabu ya Yanga chini ya aliyekuwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mshindo Msolla ameivunja pia Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo.
Dalili za bundi kupiga kambi endelevu jangwani ziko wazi. Enzi za nyuma kuna Mwenyekiti aliishi kwa kulindwa na polisi ili aingie pale Kaunda!!!
ReplyDeleteMimi nahama Yanga mapema!
ReplyDeletesiku zote binadamu anaekimbia kwake kisa eti matatizo,huyo binadamu anamatatizo akilini mwake
Deletekaribu unyamani
DeleteTim mbovu
ReplyDeleteni sawa kama kuna madudu ayaondoe tu
ReplyDeleteTumwanchie mwenyekiti anajua anacho kifanyaa
ReplyDelete