November 8, 2019


Baada ya kulazimishwa suluhu ya 0-0 jana dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, timu ya Simba ilishindwa kumpa furaha Geoffrey Nyange Kaburu ambaye ni mwanachama wa timu hiyo.

Kaburu alihudhuria kwa mara ya kwanza mechi ya Simba msimu huu baada ya kupata dhamana kutokana kesi aliyonayo ya utakatishaji wa fedha.

Katika mchezo huo Kaburu alionekana  na inakuwa kama Simba walinyima furaha kufuatia timu hiyo kwenda suluhu ya kutofungana.

Kaburu alienda Uwanja wa Uhuru peke yake bila kuambatana na aliyekuwa Rais wa klabu hiyo, Evans Aveva ambaye amepumzika nyumbani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic