January 22, 2020

LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga leo amesepa na pointi tatu muhimu kwa mara ya kwanza kwa ushindi wa mabao 3-1 mbele ya Singida United.

Mabao ya Yanga yalipachikwa na Molinga dakika ya 12 na kuwapeleka Yanga mapumziko wakiwa mbele kwa bao moja na kipindi cha pili waliongeza juhudi na kufunga bao la kwanza kupitia kwa Haruna Niyonzima dakika ya 57 akimalizia pasi ya Morison.

Bao la tatu kwa Yanga lilipachikwa na Yikpe dakika ya 77 baada ya mabeki wa Singida United kujichanganya kuokoa mpira ndani ya 18.

Singida United ilipata bao la ushindi kupitia kwa Six Mwakasege dakika ya 82 akimalizia pasi ya Athuma Chuji.

Kocha Mkuu wa Singida United, Ramadhan Nswanzurimo amesema kuwa wameshindwa kupata ushindi kwa uzembe wao na Eymael amesema kuwa walijipanga kupata ushindi.

11 COMMENTS:

  1. Fukuzeni aliyeandika hii habari

    ReplyDelete
  2. Tumeishinda timu isiyoshindika na tutakwenda mwendo wa kasi na kupiga teke kila kitachozubaa hadi ubingwa

    ReplyDelete
  3. tehe tehe tehe ! mmeshinda team isiyoshindika? Singida united au ?

    ReplyDelete
  4. Hongereni wanayanga wenzangu twendelee kumuomba mungu ili tuendelee kupata ushindi mechi zingi e

    ReplyDelete
  5. Tatizo lenu yanga mhataki kununua mechi kama wenzenu walipopigwa tu na mtibwa mdosi alitaka kususia timu wakamlamba miguu akatia timu kwenda kwa mbao mambo bamubamu wakamwaga mpunga wewe endelea kuwa bahili hivyo hivyo mtaishia kunawa tu

    ReplyDelete
  6. Wewe ni mkundu tena uchi wako mchafu,haki ya mungu wewe una pepo na ndio kawaida yenu hamkosi lakuongea maana nyie yanga ndio mnacheza mpira simba wao wananunua,kwa dhana hii hata nyie mkifungwa mtakua mmeuza game mikundu nyie.chezeni mpira acheni ujinga simba hana maneno nyie endeleeni kutoa maneno yasiyo na maana alafu msahau kucheza mpira,jitahidin mshinde mechi zenu zote za mzunguko wa kwanza ili tuingie duru ya pili.

    ReplyDelete
  7. Mkuu futa matusi hayo, sio vizuri kutukana

    ReplyDelete
  8. Hata mechi ya Singida Yanga kanunua believe or not ili kuokoa jahazi.Maana Yanga wangefungwa leo hali ingekuuwa tete sana. Kwa vyovyote vile Yanga walikuwa lazima washinde kwenye mechi ya Singida, halali au kwa kuiba kwa maana ya njia za udanganyifu. Hata huyo mdau wa yanga hapo juu aliedai kuwa Simba wananunua ni kama vile wanajishtukia wao wenyewe. Kumbuka Mwigulu Mchemba aliwapa yanga wachezaji bure kutoka Singida basi ndie huyo huyo aliwagaia Yanga ushindi kutoka Singida leo mwiso wa kunukuu.

    ReplyDelete
  9. Tusi ni pigo la nafsi(psychological tortures) na ndiomana ukitukanwa unaweza ukaleta madhara makubwa endapo kunakuwepo physical contact of the two objects,hapa ndipo unapojifunza kwamba kupigana hata kuumizana baada ya matusi ni njia pekee yakujipoza kwa mhanga aliyetukanwa lakini kamwe hayatampunguzia maumivu ya nafsi ambayo tayari atakua ameshayapata(undrained psychological tortures).na ndiomana vyombo vya dola(police na mahakama)havitoi adhabu ya kupiga laa bali adhabu inayofanana kimatokeo na madhara yaliyosababishwa na tusi au matusi.povu ruksaaaaaaaa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic