March 1, 2020

KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa siri kubwa ya ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Alliance ni wachezaji wake kufuata maelekezo aliyowaambia mwanzo na juhudi zao binafsi.

Yanga ilishinda mbele ya Alliance na mfungaji wa mabao akiwa ni Ditram Nchimbi aliyefunga mabao hayo yalioipa pointi tatu Yanga.

Eymael amesema:"Kazi ya wachezaji ilikuwa kubwa na kila mmoja ametimiza majukumu yake nina amini kwamba kazi niliyowapa wameitimiza na kufuata maelekezo niliyowapa ndio kilichobeba ushindi wetu,".

Yanga inafikisha pointi 44 ikiwa nafasi ya nne na imecheza mechi 23 ndani ya ligi.

4 COMMENTS:

  1. Kila siku wakivishinda vitimu vilaini utasikia "sababu za siri za ushindi" siri gani hizo, zizizo kwisha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona chuki. Sio lazima uncomment

      Delete
    2. So anaona yanga wanashinda kiuhalali kabisa

      Delete
    3. Wewe mkia nyamaza, subiri tar 8 tuku balamabanka.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic