August 11, 2020

 
NYOTA Feisal Salum kiungo ndani ya Klabu ya Yanga kwa mujibu wa Injinia Hersi Said Mkurugenzi wa Uwekezaji kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu hiyo amesema kuwa ameongeza mkataba wa miaka minne.


Kwa maana hiyo Feisal atakuwa ni mali ya Yanga mpaka 2024 kwa maana hiyo timu itakayokuwa inasaka saini yake lazima ijipange kuweka mkwanja mezani.

Kwa msimu wa 2019/20, Feisal amekuwa bora ndani ya Ligi Kuu Bara akianza kikosi cha kwanza kwenye jumla ya mechi 22.

Ana tuzo ya mchezaji bora ndani ya Yanga aliyokabidhiwa na wadhamini wakuu wa Klabu hiyo, kampuni ya SportPesa.

Amefunga bao moja ndani ya ligi msimu huu ilikuwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Mwadui FC kwenye sare ya kufungana bao 1-1.

11 COMMENTS:

  1. Yanga na GSM wao wamepagawa hivi sasa. Wanatafuta kila njia ya kuziba sakata la Morrison.Ni dhahiri Yanga wamechanganyikiwa na hatua ya Simba kumsajili Morrisson. Kuna picha kadhaa feki hivi sasa mitandaoni zikionesha baadhi ya wachezaji wa simba wanasainiwa Yanga? Hizi picha feki zinazoendelea kwenye mitandao ndizo zilizotumika na Yanga kufeki sajili za Morrison na Tshimbi. Kwa taarifa tu hakuna mchezaji wa simba anaehitajika simba akaenda Yanga hivi sasa. Wachezaji nao msiwafanye mazuzu kwani kila mchezaji mwenye malengo kucheza Caf champion league ni fursa ya kipekee. Yanga msimu mzima kesi hazishi wachezaji kudai haki zao. Mchezaji wa simba kwenda Yanga kwa sasa ni lazima huyo mchezaji apimwe akili. Hao Yanga hivi sasa hata ukisikia wamensajili Lisu ushishangae

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbuzi kweli....hivi bongo kuna utofauti gani kati ya bingwa na team zingine....kama unatolewa na us songo hatua ya Kwanza afu unatanua mdomo ety tunacheza champion league...mfyuuuuuuuuuuuuuu

      Delete
    2. Kununua mechi ndio strategy yao. Ata ile ya 4-1 walicheza na baadhi ya wachezaji wa Yanga. wanawadanganya wapenzi ili mwenye timu apige Mkwanja. Sasa hakuna anayejua fedha za simba zipo wapi? Viongozi wao wote maboya tu. Viongozi wa kweli walishaachana na hiyo timu. Makao yake Makuu ni Masaki huko sio msimbazi tena. Kama unabisha nenda Msimbazi kama utaona file la mchezaji utayakuta tu ya akina Edward Chumila Edo Boy wakati wa Simba ya ukweli. Wazamani hawakusoma lkn hawakuwahi kufanywa mazuzu! Kushangilia kitu sio chako kumsaidia jamaa apige mpunga. Jengeni mfumo wa kweli vinginevyo rudisheni timu yenu.

      Delete
    3. Kama waombe mechi na timu ya Burundi utashangaa draw ya 0-0 kwa taabu

      Delete
  2. 4G lazima liwatoe povu.Makao makuu ?Hudözungumzii GSM?Tokea lini wadhamini wanasajili wachezaji?Duniani ni Yanga tu.Unyani sio sura tu bali tabia. Kweli timu inayoshindwa kusajili manahodha wake wawili kwa mpigo ina weza kukosoa timu nyingine?Viongozi wa Yanga kazi yao nini?Au ni kuosha magari ya GSM?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi nashangaa we mkia Kama we Mwanaume itakuwa una ngiri,Huyo Manara anawaendesha na hizo bangi zake,halafu uongee na Wananchi piga mswaki kwanZa,mmeshindwana na Senzo nyoooo.Na CAF wanawasubiri na hizo mbinu E
      zenu za tunajua tunashindaje ,Viongozi wa Yanga kwani GSM babako kwamba anatumia Mali yako ya kurithi,mbona nyie mmemkopesha mo Timu na pesa hajawapa?

      Delete
    2. Kwahiyo Simba huwa anasajir nani Kama sio mo???au mo si mdhamini Bali Ni mwenye timu??matumizi mabaya ya akiri think before!!!

      Delete
  3. Hao manahodha ndo mmekuwa mnawatumia kwahiyo mbinu yenu ya tunajua tunashindaje mnayotamba nayo

    ReplyDelete
  4. Halafu inaonekana wewe unatoka kwenye Familia maskini tena Wachawiy ,kwa sababu unataka tuwaze Morrison tu tusiendelee na Jambo lingine kwani huu ni Msiba ?

    ReplyDelete
  5. Morrison hakupaswa kuwepo hata tz kwa utovu w nidhamu alioonyesha

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic