NYOTA hawa wa Yanga, jana Agosti 10 walianza mazoezi ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2020/21.
Meneja wa zamani ambaye amerejeshwa kazini, Hafidhi Saleh alianza kazi rasmi jana Kwenye Uwanja wa Chuo cha Sheria, Dar es Salaam:-
:-Metacha Mnata
Yassin Mustapha
Paul Godfrey
Deus Kaseke
Juma Makapu
Abbdulaziz Makame
Ditram Nchimbi
Wazir Junior
Juma Mahadhi
Abdallah Shaibu








Juma mahadhi kumbe bado yupo!
ReplyDeleteUnafanya mchezo na Tanga nn?
DeleteJuma mahazi, huu Ni Msimu wako wa kuonyesha makeke.
ReplyDelete