September 18, 2020


UONGOZI wa Simba umesema kuwa sababu kubwa ya kuomba viingilio kushushwa kwenye mechi yao dhidi ya Biashara United ni kutaka kuanza sera yao ya kujaza mashabiki kwenye kila mechi ambayo watakuwa wanacheza bila kujali ni wapi.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa  mipango yao ni kuona kila shabiki na mwanachama wa Simba analipa kiingilio stahiki huku akiipa sapoti timu yake.

"Tumepokea taarifa kwa furaha kubwa kutoka Bodi ya Ligi Tanzania ya kushushwa viingilio hasa kwa upande wa mzunguko kuwa buku tatu,(3000).

"Niwaombe mashabiki wa Simba na wanachama pamoja na mashabiki tujae kwa wingi ili tushangilie chama letu. Tumerudi Uwanja wa Mkapa ili kuona namna gani tutashinda na kwa mabao mengi na tunataka tuwe wengi.

"Niwakumbushe kuwa mechi itakuwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku, tunataka kuanza kutengeneza utamaduni wa kujaza uwanja katika kila mechi ambazo tutacheza na kutoa burudani," amesema.

Mchezo wa Septemba 20, Uwanja wa Mkapa utakuwa ni wa kwanza kwa Simba ambao ni mabingwa watetezi kucheza ndani ya Dar kwa msimu wa 2020/21.

Mechi zao mbili zote wamezipiga nje ya Dar, ambapo walianza kumenyana na Ihefu FC Uwanja wa Sokoine Mbeya wakati wakishinda kwa mabao 2-1 ilikuwa Septemba 6.

Mchezo wa pili walibanwa mbavu na Mtibwa Sugar kwenye sare ya kufungana bao 1-1 Uwanja wa Jamhuri, ilikuwa Septemba 12.

37 COMMENTS:

  1. timu imepoteza mvuto ndo mana wanajaribu kutumia kila njia za kuwashawishi mashabiki kuendelea kwenda uwanjani.

    ReplyDelete
  2. N kwel imepoteza mvuto kwasababu inaonekaka timu Haina mpizan hapa Tanzania ndo maan inachukua makombe hovyoo hovyoo tu mpaka mashabiki wamechoka

    ReplyDelete
  3. Unajua makombe inayachukuaje mbeleko matakoni na mambo Kama hayo kwani ungekuwa bingwa kweli ungetolewa na UD songo awali sisi miaka yetu tunatolewa na Bingwa kwa mbinde ninyi hata mkipangiwa Mlandege bila Kupuliza vyumbani mnatolewa mikiaaaaafc

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utopolo kelele nyingiii, sisi tunatwaa ndoo tu. Mnaongea sana mnasahau mlishabebwa kupitiliza mpaka mkapewa magoli ya mkono utawala wa malinzi. Acheni kutoa povu utopolo mtakufa kwa predha jengeni kikosi chenu kwanza maana Wala ulojo tu wamewatoa jasho. Afrika ya mashabiki na Kati SIMBA ndo team Bora na sasa tunaitwngaeneza kupambana na team za majuu Kama Zàmaleki,Al ahaly n.k

      Delete
    2. Ndio shida ya kushabikia mpira ukubwani au kwenye mitandao ya kijamii eti mshabiki wa Yanga nae anasema huwa wanatolewa na timu kubwa tena kwa mbinde michuano ya Afrika,hapa mimi sitaki kuweka rekodi za simba kuzifunga na kuzitoa timu kubwa Afrika, sijui kufika nusu fainali klabu bingwa AFRIKA (1974), KUFIKA FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO CAF(1993), kumtoa bingwa mtetezi wa michuano ya klabu bingwa Afrika ZAMALEK na kuingia robo fainali (2003), kufika tena robo fainali 2018, Kuwa mabingwa mara nyingi wa michuano ya Kagame(mara 6)nataka huyo jamaa hapo juu anayesema wao yanga huwa wanatolewa kwa mbinde na timu kubwa anitajie lini Yanga kashawahi kuifunga timu tu ya kiarabu zaidi ya goli 1, namtumia elfu kumi sasa hivi namkumbusha tena sio kuwatoa yani kushinda tu zaidi ya goli moja. UNAPOIONGELEA SIMBA KIMATAIFA YANGA INABIDI UKAE KIMYA WE SHUGHULIKA NA MAKOMBE YAKO YA KUBEBWA NA WAKINA MALINZI , NDOLANGA SHUGHULI YA KIMATAIFA HUIWEZI CHIZI WEE

      Delete
    3. Bado unawashwa na 4G.Subiri 18 oct tuwakune tena.

      Delete
  4. Simba imezifunga timu kubwa zote za Misri Zamalek(huyu ndo alitolewa kabisa), Al Ahly wamefungwa mara mbili miaka ya 1980 na champions ligi iliyopita 2018, ISMAILIA, Mehara El Kubra, Arab Contractors, ENYIMBA, AS VITA, ASEC MIMOSAS, Etente setif(Algeria-huyu naye alitolewa kabisa, Al Ahl -Shandy, alafu anakuja Nyani mmoja anafikiri simba ni sawa sawa na Chura fc anayejiita bingwa wa kihistoria kwa kubebwa na wakina Malinzi , Ndolanga CAF kule akuna akina MALINZI, eti simba wanapulizia dawa aha ahaa aha duuu, kwa hiyo hadi mwaka 1993 huko simba ilipofika fainali ya CAF walikuwa wanapulizia dawa. KWELI MANYAAAAAAAANI FC

    ReplyDelete
  5. Utopolo hawana point! kazi kudanganywa tu,suala la Morrison CAS kimya, wamekuja kudanganywa Tena na kupumbuazwa na GSM kwakuundiwa kablauzi kapya kuwasahaulisha walivyowaliza kwa Morrison kwa mkataba feki.

    ReplyDelete
  6. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  7. mna kazi kila kitu lazima muitaje Yanga ivi mnakwama wap?kama timu yenu nzuri izungumzeni hiyo kila MTU acheze mechi zake tukutane mwisho wa msimu

    ReplyDelete
  8. historia ya inahusiana nini na viingilio timu inakosa mvuto usajili wa kawaida mmefanya ndo maana mmeona mshushe viingilio tutaonaaa mengiiiiii, iyo sare tu bado hamjafungwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Timu yenu nyie si ndo ina mvuto tutaona huo mvuto mlionao baada ya mechi kumi kinachotokea sasa hv mnapata moto kwa sababu mmeaaminishwa kuwa mmesajili wachezaji kumbe mmesajuili migarasa ngoja mtoe droo kama tano tutaona kama mtaingia uwanjani zaidi mtakuwa na kazi ya kulalamikia marefa wehu nyinyi

      Delete
  9. simba saiv wana timu ya kawida ndo mana mashabiki wanacharuka hatar tulieni dawa iwakolee mlizoea kuongezewa dk 8 mechi ya mtibwa refa kaongeza 3 chali na offside hakuna

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tarehe 18/10 kesho tu matokeo yataongea yenyewe. Kusajili wachezaji wengi si kigezo Cha kutwaa ubingwa.mshasajili sana lkn matokeo 0 sasa mtasajili mpaka mashabiki

      Delete
    2. Na kweli simba sasa hivi wana timu ya kawaida si ndo mana tuliwafunga wale chura fc 4G kwa simba ninayoijua mimi wale ilibidi wapigwe hata 8-0

      Delete
  10. pamoja na usajili wetu mbovu lakini kwenye ligi msimu uliopita simba haijaifunga yanga pia unapojisifu kuwa wewe ni bora halafu michuano ya kimataifa umetolewa round ya kwanza ni aibu pia kwa ubingwa wa kubebwa mlioupata msimu uliopita ni aibu kutamba nadhani kila mtu ameona mlivocheza na ihefu na mtibwa hakuna cha ajabu

    ReplyDelete
  11. Kweli soka limeingiliwa. MANYANI FC

    ReplyDelete
  12. Halafu wewe unaandika Insha sijui risala hili umtishe nani ninyi matapeli wa mpira mnajulikana mbona hujaweka Wadudu watano wa Kiarabu na Korodani za Angola paka shume ,wewe Kama ulipenda mpira enzi za Radio Tanzania huna jipya jiongezee ,mtu anakutumbua 5-0 una shinda1-0 baada ya ujanja ujanja halafu unajipapatua .Shahidi wa maovu yenu Ni historian pamoja na maneno aliyosema na huwa anarudia Redion chizi wenu Haji eg ,5-0 Alhal Cairo alifungwa Uchebe na 1-0 Ni sisi tunajua tulishindaje (Hapo anamnanga Kocha kuwa hafai) uliza EFM wakupe crip mkiaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. unashabikia wanaume zako mbona usemi wewe ulivyokutana na simba ulikula 6-0, 5-0,4-1,4-1 shoga wa kihindi wewe

      Delete
    2. We hukuziona 3-0 za simba vs JS Soura uliziona za Al Ahly tu, nimegundua kumbe ni machoko fc wanategemea kuegemea kwenye migongo ya mabahasha zao kweli mapunga fc wakifungwa simba ndo halali,ila wakishinda simba ujanja ujanja, kumbe ndio mana jina lenu mnaitwa Yanga AFILIKA na sio yanga africa NA MTAFILIKA sana mwaka huu sheeeenzi

      Delete
  13. Hata hii Timu ya Sasa hv bila virefa hivi vya Karia Ni maneno tu narudia hata Timu ya Mlandege imawatoa tuuu.Kichwa Kama Onyango

    ReplyDelete
  14. Mpuliza vyumbani Kagame nje ya Tanzania unakulaga Kisago ikija Dar unajitutumua mara zote Ni Dar moja Zanzibar na ulitufunga Sisi kwa Penalt toka Dk ya 6 wananchi wapo 10 Uwanjani dk 120 .Kwa Watoto Mwenyekiti was mikia miaka hiyo eti Bamchawiiii
    Uliza Wanaumme wamebeba nje mara ngapi.Kwa hiyo historian Inaonyesha inawachukua si chini ya miaka 15 kufika angalau robo Fainal interval so baada ya miaka 15 au 20 tuwategemee kufika tena robo .Mzee wa INSHA mkia umeelewa?

    ReplyDelete
  15. sisi tunachukua miaka kumi kufika robo we utachukua miaka 1000 mwehu wewe mjusi kafiri kenge wewe

    ReplyDelete
  16. RAJA Casablanca vs Yanga (6-0) 1998. Sasa sijui tunabishana nini hapa , timu inashindwa hata kujitetea kwenye uwanja wake wa nyumbani alafu eti hoo mmefika robo faainali kila baada ya miaka kumi ,wewe je ulishawahi kufika wapi ndio mana mtu akikwambia akili zako kama mshabiki wa chura fc pigana, kule akuna wakina malinzi eti wapuliza dawa vyumbani teh teh teh teh teh wazee wa best looser kila mwaka aha ha ha aha

    ReplyDelete
  17. Mbona hawasemi baada ya simba kufungwa tano alafu kilichoendelea nini, wamebaki kushabikia timu za wapinzani mara Al Ahly alikufunga 5 , mara As vita yani hawa hii timu kweli ya mashoga wanasubiri waume zao ndio wawatetee jiteteeni wenyewe, visingizio fc mara wachawi, mara wanapulizia dawa vyumbani mtabaki hivyo hivyo teh teh teh teh teh teh

    ReplyDelete
  18. Halafu hii mitoto I'll zaliwa enzi za kuku wa nya haujui Kama mikia iliwahi kuukunja matakoni half time kwa kuogopa kichapo Mara nne mnaenda mapumziko hamrudi eti thita bill na kukimbiaje?

    ReplyDelete
  19. Mmeshakimbia half time hamrudi mara nne Bamchawiiii wanga wakubwa Mikia as fc muulize chizi wenu awambie maana hilo hata Waandishi wanawaficha pakashumeee

    ReplyDelete
  20. Enyimba jumla home and away 8-0,ulisha zaliwa au ulikuwa wapi?

    ReplyDelete
  21. Hivyo vipigo vyetu enzi za mkapa Tena awamu ya kwanza Sasa wenzetu hata miaka miwili bado Tena enzi za Mo Energy?aibuuuiieee

    ReplyDelete
  22. Inaonyesha mkinywa mo Energy mnalegeaaaaa watu wanakula zote

    ReplyDelete
  23. Hiyo ya Raja 6-0dk 8,redcard Ken Mkapa ugenini Goal tatu zimeingia kuanZia dk 92 mpaka 96 hapo napo Rage alishiriki kupiga mgao wa haki za TV Yanga akiwa MKiti Tff (hujuma) naye ni MkiaFc

    ReplyDelete
  24. Utopolo msiongee sana kumbukeni mlishawahi kuikimbia Simba uwanjani Kagame cup. Utopolo ulishadebweda kwa mnyama tangu enzi hizo.

    ReplyDelete
  25. Hiyo nilijua utaongea hiyo tuna ushahidi tulikubaliana tusiingie cse maslahi ninyi mkazunguka mkaingia issue ilikuwa kumkomoa msonye wewe jibu mlivyo kimbia half time mara nne paka shumee Kocha wenu Kibaden na Julio ,hili ionekane mmekimbiwa mwanaumme akimbii .Yanga ilibaki kambi Hiyo tunajua

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti hiyo nilijua utaongea tuna ushahidi, yani mlifungwa 6 -0 na Raja Casablanca eti kuna mchezaji alipewa kadi nyekundu, mliikimbia Simba eti hiyo tuna ushahidi aha ha ha ha ha visingizio fc. Simba iliitoa Zamalek kwenye uwanja wake wa Nyumbani, simba iliioa Mafurila Wonders ya Zambia mbele ya Rais wao Kaunda sasa sijui na huko simba ilikuwa inapulizia madawa, alafu eti unatuambia Yanga ilichukua kombe la Kagame ugenini aha ha ha ha ha . Sisi tunazungumzia michuano ya Klabu bingwa Afrika mlishawahi kufanya kitu gani cha ajabu hiyo hatua ya makundi mliongia amwaka 1998 Rayon sports walijitoa ndio mkapata nafasi. Yani mkifungwa nyinyi kuna hujuma ila wakifungwa simba hawajui alafu timu hiyo hiyo unayosema haijui ndio imeleta heshima nje ya mipaka ya Tanzania. Mamelodi vs Al Ahly (6-0) marudiano Al Ahly vs Mamelodi (1-0) kwa hiyo Ahly nao ni wajanja wajanja, TP Mazembe vs Club African (7-1) alafu mtu anashangaa simba kufungwa 5-0, na vilabu vyenye Bajeti mara kumi zaidi ya SIMBA kweli YANGA AFILIKA wataendelea kufilika tu maisha yao yote

      Delete
  26. Unapenda Insha kijana wewe jua UJANJA UJANJA umezidi hamuaminiki Timu bora in consistency ,matapeli wa matokeo . Mechi ya Nkana hapa Dar dk ya 1 kwanza refa mkenya anayekimbia kainua tako Kama Kahata anatoa kadi ya njano kwa mchezaji wa Nkana eti time wastage .Kilicho baki unakumbuka goal la tatu anafunga chama faulo anacheza mcheZaji wa Simba inaelekezwa Nkana wachezaji wanamZonga refa Simba wanaanza mpira wanafunga mnashangilia ,hapo kumbuka kauli ya Haji Manara kuhusu Uchebe kwamba mnajua mnashindaje hapa Dar .Na hii kauli imekuwa inatumika hasa baada ya kuwa na Friends of Simba mnaitwa wazee wa Miandaring
    Kwenye risala yako uliweka Kagame cup x6 au ukipakatwa una sahau.Huyo refa wa Kenya toka awasaidie na hivyo vi usd 3000 mli mpa hajawahi kubangwa Tena na CAF unajua hiyo? Consistency usitaje ligi ya Karia Friends of Simna

    ReplyDelete
  27. Wewe Kijana Zamalek uloitoa hata Onyango haja barehe hata Kocha alowa saidia Alisha fariki miaka 20 I'll pita kwani wewe Ni Nottingham Forest ya Uingereza cse nayo iliwahi kutikisa Ulaya hapa ni Ud Songo na wewe mbona round ya hawali?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic