May 7, 2019


Shirikisho la Mpira Miguu Tanzania (TFF) limesogeza mbele kwa siku moja mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Biashara United dhidi ya Yanga.

Mechi hiyo imesogezwa kutoka May 09 hadi May 10.

Sababu ya kusogezwa mbele kwa mchezo huo ni kuwapa muda wa kusafiri klabu ya Yanga.

Yanga leo May 07 wameondoka mkoani Iringa na kesho asubuhi May 08 watakwea pipa kwenda Mwanza na wataenda kuunganisha na bus kwenda Musoma.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic