May 20, 2017


AFRICAN LYON

Rasmi timu tatu zilizoteremka daraja zimejulikana nazo ni JKT Ruvu kutoka Pwani, Toto African ya Mwanza na African Lyon ya Dar es Salaam.

Timu hizo zimeteremka baada ya mechi za mwisho za ligi huku mbili kila moja ikipoteza na moja ikipata sare ya bila mabao.

Toto African wamepoteza kwa kuchapwa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar wakiwa ugenini mjini Manungu, Morogoro na Ndanda wakawashindilia zaidi JKT kwa mabao 2-0 ambao tayari walikuwa wameishateremka.

Kwa Lyon, wao walionekana kama walikuwa wanaweza kubaki lakini sare yao ya 0-0 ikishindwa kuwaokoa katika mehi ya mwisho.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic