LICHA ya Kuwepo tetesi za kumalizana na Yanga, kiungo mshambuliaji wa Simba, Mzambia Clatous Chama ameingia hofu ya maisha yake endapo akitua Jangwani..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Taratibu zinafuatwa ndio maana anachukuliwa ni mchezaji huru kamaliza mkataba na Ute yuko huru kwenda popote hata Barcelona anataka challenge mpya sasa msione yeye ndio baba yenu kila mikia ana baba yake amfuate muacheni akamalizie soka lake kwa mafanikio na mikwanja. #Wape salam
Mtahangaika sana na huyu chama. Hoyo hela uliyopewa unaila kwa jasho.
ReplyDeleteMeacheni acheze mechi kila siku chama chama, kama mnamtaka fuateni taratibu
ReplyDeleteTaratibu zinafuatwa ndio maana anachukuliwa ni mchezaji huru kamaliza mkataba na Ute yuko huru kwenda popote hata Barcelona anataka challenge mpya sasa msione yeye ndio baba yenu kila mikia ana baba yake amfuate muacheni akamalizie soka lake kwa mafanikio na mikwanja. #Wape salam
ReplyDeleteTuisila mwenyewe kashapoa, mafanikio gani mnayasema. Mapinduzi cup?
ReplyDelete