HAJI Manara, Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amesema kuwa kila kitu kuhusu maandalizi ya mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Vita kipo sawa wanaingia uwanjani kusaka heshima.
Simba itamenyana na AS Vita ya Congo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa Februari 12.
Jana, Februari 10 kikosi kimewasili Congo na kuanza kufanya mazoezi ambapo Joash Onyango ambaye alikuwa anaibukia majeraha aliyopata kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe alikuwa miongoni mwa walioanza mazoezi.
Akizungumza na Saleh Jembe, Manara amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani na wataingia kea nidhamu pamoja na kusaka heshima.
"Tunatambua kwamba tunawakilisha nchi na mashindano haya ni makubwa hivyo tutapambana kusaka heshima pamoja na ushindi ndani ya uwanja.
"Wachezaji na benchi la ufundi lipo sawa kwa Watanzania kikubwa
Wakati ambapo wapo wasiojijua nini wanachokitaka wanaonyanyuwa mikono yao juu kuiatakia mabaya timu ya nyumbani inayoiwakilisha nchi yetu sisi twanyanyua mikono yetu juu kumuomba Mungu wetu Mtukufu aijaalie timu hii kila aina ya mafanikio na irejee nyumbani Salama nyuso juu
ReplyDeleteTimu ya nyumban ni TAIFA STARS TU, AS VITA kila la kheri, Simba pigwa goli tatu bila, urudi mkia huna.
ReplyDeleteSiyo 3 ni 5 dadeki
DeleteTimu ya nyumbani ni KAGERA SUGAR, sasa nyie mapaka mnawakilisha nchi gani? Hapo ninawaombea AS VITA ushindi tu mnono
ReplyDeleteNyani kwenye ubora wake
DeleteDuh kagera sugar
ReplyDeleteMwenye wivu ajinyonge
ReplyDeleteUshindi Ni lazima
ReplyDeletekaduguda kashafanya yake mapemaaaaaaa, chezea mapaka
ReplyDeleteKwan mech yenyew itakuwa saa ngap?
ReplyDelete