FT 3-3
Mpira umekamilika Uwanja wa Mkapa kwa sare ya kufungana mabao 3-3 na wamegawana pointi mojamoja leo.
Dakika 3 zinaongezwa
Dakika ya 90 Kipao mlinda mlango wa Kagera Sugar anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 86, Nchimbi anakosa nafasi ya kufunga baada ya Mlipili kuokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 85 Niyonzima anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo Mhilu
Dakika ya 82 Mohamed Ibra anaingia anatoka Mwaterema
Dakika ya 75 Metacha anaokoa hatari ndani ya 18
Dakika ya 74 Niyonzima ndani anatoka Kaseke
Dakika ya 70 Mlipili anaingia anatoka IsihakaDakika ya 60 Tonombe Gooooal
Dakika ya 55 Yanga wanaotea
Dakika ya 54 Mustapha anapeleka mashambulizi Kagera Sugar
Dakika ya 49 Kibwana anacheza faulo
Dakika ya 47 Kagera Sugar wanapeleka mashambulizi Yanga
Dakika ya 45 Mauya anatoka anaingia Tonombe Mukoko na Nchimbi anaingia anatoka Michael Sarpong
Kipindi cha pili
UWANJA wa Mkapa
Kipindi cha Kwanza
Ligi Kuu Bara
Yanga 2-2 Kagera Sugar
Dakika ya 45+2 Mhilu Goal
Dakika 2 zinaongezwa
Dakika ya 45 Kagera Sugar wanakosa kona na kusababisha faulo
Dakika ya 44 Mustapha anasababisha kona ya tano inaokolewa na Bakari Mwamnyeto
Dakika ya 43 Kagera Sugar wanapiga kona inaokolewa
Dakika ya 40 Sarpong anapiga shuti linaokolewa na kipa wa Kagera Sugar
Dakika ya 38 Kapama Nassoro anaonyeshwa kadi ya njano
Yang Goal Deus Kaseke dakika ya 30
Kagera Sugar goal Hassa Mwaterema
Yanga goal dk 14 Tuisila Kisinda kwa mkwaju wa penalti
Kagera Sugar goal dk 11, Peter Mwalayanzi
Mwandishi wetu 2-2 badala 2-3
ReplyDeleteHaya sasa tafuten lakuongea, vijora vinasambazwa mapema mwezi wa tano ndoa, mnyama atakupiga tu hata ufanye nn, huyo fistula mbona hatumuoni. Polen sana watani endeleen kusambaza sare wanakamat wamelipwa pesa nyingi sana.
ReplyDeleteNiliona wanalilia tena penalti... sare mbili zilizotangulia ilikuwa ugenini..Na nyumbani pia ni mwendo wa sale...vipi Piston / Fistula.
ReplyDeletepoleni mlimchezesha majeruhi Saido ili mpate kombe la Mapinduzi...mbadala hamna..Simba wana Bocco wengi...Yanga hawana Saido wengi
Mnyama njia nyeupe. Watani poleni sana ndio hali ya dunia, lakini ligi inaendelea msikate tamaa wala msitimuwe kocha na hakuna haja ya kulalamika refa kwa kila kitu wazi. Nilichogunduwa ni wachezaji wanaonesha wanyonge bila ya morali
ReplyDeleteitakuwa wachezaji hawajalipwa..ikiwa pamoja na madhara ya kufungiwa bado Tambwa hajalipwa..ndiyo maaana wachezaji ni wanyonge..Tulisema hata Zahera aliongoza ligi mwaka juzi hadi mechi nne za mwisho Mnyama akachukua kombe
ReplyDeleteLeo nani anabebeshwa lawama?
ReplyDeleteLeo Malalamiko FC a.k.a.Utopolo a.k.a.vyura wanakuja na ajenda gani ya Malalamiko?....Ligi ndio inaanza ugaidi
ReplyDeleteRhalafu Nugaz anatwambia tutembee kifua mbele. Wakat hizi sare tuazopata TUNABEBWA
DeleteRhalafu Nugaz anatwambia tutembee kifua mbele. Wakat hizi sare tuazopata TUNABEBWA
DeleteLeo Msola ametolewa kwa ulinzi wa Polisi.Mashabiki wa Utopolo wanadai anawahujumu.Sijui kacheza namba ngapi?
ReplyDeleteGari la mkaa limeanza kuungua moto.Ligi ndio bado mbichi.
Mwandishi awalinganishe wawa nq lamine Moro nani beki bora maana mara ma mwisho uliwalingqnishq kwa kigezo cha timu ipi imefungwa magoli mengi
ReplyDeleteRodrick huo mlinganisho ndio umekufa sasa.Gari la mkaa limeanza kuungua.
ReplyDeleteNdio Soka, ligi bado ndefu, it is too early to say anything...
ReplyDeleteIle sherehe yao imeishia wapi
ReplyDeleteTusimtafute mchawi, mchawi ni sisi wenyewe. Majigambo na kubeza kupindukia kiasi haya ndio matokeo. Yanga leo kama gari bovu kila likitaka kukwea mlima, linarejea chini. Ikiwa yamepatikana mabilioni ya kununulia haya magarasa tuliyonayo vipi tushindwe kumlipa Tambwe milioni zake arbaini, kidogo sana kuliko zilizotumika kununulia Piston ambae hana lolote analolifanya isipokuwa majisifu na kusifiwa tu.
ReplyDeleteDk 47 Kagera wanapeleka mashambulizi 😖😖😖😖😖
ReplyDelete