April 27, 2021

 


FT: Simba 3-1 Dodoma Jiji
Simba wanasepa na pointi tatu muhimu mbele ya Dodoma Jiji.
Dakika ya 78 Kagere anaingia anatoka Mugalu
Dakika ya 72  Morrison anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dakika ya 71, Ajibu anaingia anatoka Luis Miquissone 
Dakika ya 69 Ambundo anafanya jaribio kwa Manula anaokoa
Dakika ya 67 Mugalu Goal la 8
Kwa dakika hizi kipindi cha pili Simba wanacheza faulo 
Dakika ya 66 Bwalya anacheza faulo
Dakika ya 63 Nyoni anaonekana akimchezea faulo Karihe kwa kumpiga kiwiko
Dakika ya 62 Manula anaokoa hatari
Dakika ya 60 Luis mwenye mabao 7 na pasi 9 anaunawa mpira baada ya kupigwa chenga na Mkandala 
Dakika ya 59 Peter Mapunda anaingia kuchukua nafasi ya Jamal
Dakika ya 55 Goal, Chama Asisti goal ni mali ya Luis Miquissone 
Dakika ya 54 Mkandala anamchezea faulo Morrison 
Dakika ya 52 Morrison anapiga kona kichwa cha Mugalu kinakwenda nje ya lango
Dakika ya 51 Morrison anaingia anatoka Mzamiru 
Kipindi cha pili 
Uwanja wa Mkapa
Mapumziko 

Simba 1-1 Dodoma Jiji

Zinaongezwa dakika 2

Dakika ya 45 Mkandala anafanya jaribio linaokolewa

Dakika ya 42 Dodoma wanajibu shambulizi linakwenda nje kidogo ya lango

Dakika ya 42 Mzamiru Mzamiru nafasi ya wazi ndani ya 18

Dakika ya 41 Mohamed Hussein anakosa nafasi nje kidogo ya 18

Dakika ya 40, Dodoma Jiji wanacheza faulo ndani ya 18

Dakika ya 39, Mtegeta anapeleka majalo Simba

Dakika ya 38 Manyika anaokoa hatari ya Mzamiru 

Dakika ya 36 Dodoma Jiji wanapeleka mashambulizi kwa Manula

Dakika ya 34 Mzamiru Yassin anamchezea faulo Ngalema

Dakika ya 33 Chama anaotea

Dakika ya 32 Kapombe anacheza faulo 

Dakika ya 30 Goaaal Cleophance Mkandala 

Dakika 28 Dodoma Jiji wanapata kona inapigwa na Dickson Ambundo 

Dakika ya 27 mwamuzi Emmanuel Mwandembwa anaamuru mpira urushwe kwenda Simba

Dakika ya 26 Chama anachezewa faulo 

Dakika ya 24 Wawa anapiga faulo

Dakika ya 23 Kapombe anacheza faulo kwa mchezaji wa Dodoma Jiji, Mugalu naye anachezewa faulo na Kibacha naye anapewa kadi ya njano 

Dakika ya 20 Chama anapiga kona ya nne zote hazijazaa matunda

Dakika ya 19 Luis anarejea, anachezewa faulo na Mkandala anaonyeshwa kadi ya njano 

Dakika ya 18, Chama anapiga kona inaokolewa na Dodoma Jiji 

Dakika ya 16 Luis Miquissone anapewa huduma ya Kwanza baada ya kuchezewa faulo Mbwana Bakari

Dakika ya 15 Chama anapiga kona haileti matunda 

Dakika ya 13 Mkandala anamchezea faulo Nyoni

Dakika ya 9 Justine anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 8, Mugalu Goall asisti Bwalya

Dakika ya 7 Chama anamtengea Wawa, anafanya jaribio linakwenda nje

Dakika ya 6, Mzamiru Yassin anachezewa faulo 

Dakika ya 4, Seif Karihe anafanya jaribio linaokolewa na Manula 

Dakika ya 3 Mugalu anakosa nafasi

3 COMMENTS:

  1. Simba Sasa hii ni sifa.Nchi hii hatuna Tena mtani wa jadi,watani wetu ni As Vita,Tp Mazembe,Al Ahly na wababe wengine wa Africa.Utopolo wao waki focus ubingwa wa Vpl,sisi we are focusing on how to lift Caf club Champion league.Hakuna wa kujitetea kujifananisha na sisi,wanune,wakasirike hata wakilia machozi ya damu ,Simba ni baba lao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unauliza na kujijibu mwenyewe...

      Delete
    2. Simba ni baba lao upo sahihi,timu ipo organized hadi raha. Tupewe ubingwa wetu mapema maana yanga ni nguvu ya soda washapoteana tayari.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic