KUELEKEA kwenye mabadiliko Klabu ya Yanga ina mpango wa kumiliki uwanja wa mazoezi huko Kigamboni hii hapa ramani ya mpango kazi namna itakavyokuwa ikikamilika
Ramani ya kitu gani unayomaanisha?Uwanja wenu haufikii hata robo ya uwanja wa yule jamaa anaemiliki uwanja wake binafsi kule Manyara.Mnashindwa hata na KMC wanaoendelea na ujenzi wa uwanja
Safi sana. Sasa ni maendeleo. Enzi za wizi, fitina na chuki zimekwisha. Yanga mbele kwa mbele
ReplyDeleteKabsaaa mpira ni furaha ,upendo na si chuki fitina na dhuruma
ReplyDeleteKUMBE RAMANI, SIMBA HAWAKUWEKA RAMANI KATIKA MITANDAO LAKINI, TAYARI WANAFANYA MAZOEZI BILA HOFU
ReplyDeleteRamani ya kitu gani unayomaanisha?Uwanja wenu haufikii hata robo ya uwanja wa yule jamaa anaemiliki uwanja wake binafsi kule Manyara.Mnashindwa hata na KMC wanaoendelea na ujenzi wa uwanja
DeleteITAKAPOANZA KUJENGA HAYO MAJENGO MPAKA YAKIISHA YANGA ITAKAA MIAKA 5 BILA UBINGWA...YAJAYO YANAFURAHISHA JE, MPO TAYARI?
ReplyDeleteRamani ni ndoto
ReplyDelete