MENEJA wa mchezaji wa Yanga, Tuisila Kisinda anayeitwa Nestori Mutuale amesema Klabu ya RS Berkane ilituma ofa kwa Klabu ya Yanga ili kuipata saini ya Tuisila Kisinda .
Mutuale amesema Kisinda alisajiliwa na Yanga akitokea As Maniema ya Dr Congo ambayo itapata mgawo wa asilimia kadhaa katika fedha itakayopatikana kutokana na mauzo ya Kisinda.
Yanga wameeleza kuwa wamepokea ofa kutoka timu hiyo ya Morocco ambapo dau lililowekwa mezani ni nono na ofa ya kuelekea nchini humo kuweka kambi kwa ajili ya msimu wa 2021/22.
Ilikuwa ikielezwa kuwa Kisinda hakuwa mchezaji wa Yanga alikuwa hapo kwa mkopo jambo ambalo meneja huyo amelikana.
"Kisinda alisajiliwa na Yanga kwa kuwa waliingia makubaliano na AS Maniema ambapo alikuwa akicheza AS Vita kwa mkopo hivyo yeye ni mchezaji halali wa Yanga na hayupo hapo kwa mkopo.
"Kwa kuwa ni mali ya Yanga basi hata ofa ya mchezaji huyo imefika kwa Yanga ambao watapata mgawo na watawapa mgawo pia waajiri wake wa zamani," amesema.
Hahahaaa miaka yote hiyo alikuwa anacheza As Vita kwa mkopo. Ukakasi huu jaman
ReplyDeleteUtopolo ni timu ya maigizo.Kila kitu Manara kasema hivi, Manara kasema hivi badala ya kuzingatia vitu muhimu vya timu yao.Tusila hakuwa mchezaji halali wa Yanga na hawana haki ya kumuuza huo ndio ukweli. Sio Mo alisababisha hayo ni viongozi wenu wenyewe Yanga Mo anahusika na nini kwenye uzembe wa viongozi wenu?
DeleteIla kwel we mkundu batax sasa unapingana na ukwel duuu inabd ukapimwe akili
DeleteWewe mkia kabla ya kucheka Yanga kahoji Uwekezaji wa Mo Simba ,nadhani Manara alifunguka kiasi Lkn mbumbumbu eti haaaaa miaka yote aliyo kaa As Vita kaulize Mo kakaa Simba miaka minne bado thamani ya Simba Ni B41 ukiweka na za Wanachama?
ReplyDeleteJibu hoja kwa hoja sio porojo za nje ya mada... Mimi yanga kindakindaki, aahh eti yanga tena, Mimi Utopolo kindakindaki
DeleteHoja Ni kwamba Nyumbani kwako wanalala njaa unacheka aliyeshindia mhogo,iko hv kamma Ni mikataba Haji kawasaidia Ni kwamba Timu mme mpa Mo akisaidiwa na Pope,Try Tena,Mulamu and jamaa wengine wanne ,upande wa Mbumbumbu Kadu,Mama twanga naa wengine ,kwanza jipime hapo ndipo uongelee ya Watu mkiaaa (Pili Pili usizokula za kuwashia Nini?)
ReplyDeleteHizi siyo porojo hiyo USD 3000000 ya Kisinda kwako unataka majibu ,Lkn club yenye thamani ya USD 100M and over ikichukuliwa kwa USD 9000 haikuumi ,unaumia Kisinda kuuzwa Tena Ni mchezaji wakati Wachezaji wapo wengi.HAPA SIKATAI HOJA Ila UShambenga na Unafiki Hatutaki malizeni yenu kwanza.
USD 300000 not 30000000
ReplyDeleteJifunze hesabu kwanza kanla hujaingia kwenye hoja na wanaume.Usd milioni 100 ni shillingi ngapi?Na usd 9000 ni shillingi ngapi?Tusije kuwa tunashindana na zuzu.
ReplyDeleteEti usd 3000000?Unajua thamani ya usd milioni 3 wewe Utopolo?
ReplyDeleteOk errors correction kosa, lkn shida Ni thamani na bei bt ukweli haubadiriki, maana USD 9m to USD 50m and over Angalia alichowekeza hili uhoji USD 300000 za Mchezaji
ReplyDeleteUsikimbilie namba hapo nimekujibu na nimerekebisha tuendelee.
ReplyDeleteKisindaaaa, kiulainiiii
ReplyDeleteNasikia mnaomba Wachezaji wa Kigeni waongezwe CSE kwa list yenu hamruhusiwi mpaka muache au muuze lkn Mzee wa favour KARIA nasikia anapambana kuwaokoa cse hata Banda hachezi Ligi.Idadi yenu imetimiaaaaa.Mnatuaribia vipaji Mikia na hizo interest za MO.
ReplyDeleteULIAMBIWA SIMBA WASHAKAMILISHA UAJILI? UNAJUA WACHEZAJI WANGAPI WATAACHWA SIMBA WA KIGENI?
DeleteWakigeni wote Wana mikataba na wapo halafu zingatia deadline Ni 15th Aug 2021
ReplyDeleteHuna hakika
Delete