MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
Yale yale, tuliwahi kuambiwa kuna mtu alikuwa mfungaji bora wa afcon mbele ya Mo Sallah, ailiishia kuoandoka bila kuaga au kuagwa. Hii bongo ngumu.
ReplyDeleteDuh ama kweli Bongo sihami...wacha tuwasubiri kina Sarpong wapya
DeleteMagazeti haya bwana lazima yatiwe naskshi ili ya uzike
ReplyDeleteNakshi za hili gazeti zimepitiliza kushinda hata Waingereza pindi wanapopamba vya kwao.
ReplyDeleteMi huwa nalifananisha na gazeti la Sani
Mikia kaeni kimya inatakiwa mjuwe kuwa Hili msajili Wachezaji wa nje Ni lazima mpunguze mlionao
ReplyDelete