SIMULIZI ya mfanyabishara aliyerudishwa nyuma na wezi.
NILIKUWA mfanyibiashara niliyetia fora katika swala zima la biashara. Nilikuwa na maduka ya kuuza bidhaa za kielectroniki kama vile radio, simu, vipatakilishi na bidhaa zingine za kielectroniki.
Biashara yangu ilikuwa imenoga kwani mjini mahali ambapo niliuzia bidhaa zangu, wateja walikuja kwenye maduka yangu pekee. Jambo hili lilifanya biashara zingine kando yangu kufungwa kila mara.
Wafanyibiashara wengine walianza kunionea gere kwani walishusha bei ya bidhaa zao ile kuwavutia wateja lakini hilo halikufua dafu kivyovyote. Ama kwa hakika biashara ndio ilikuwa kipaji changu cha maishani. Nilikuwa nimesomea mambo ya biashara chuoni hii pia ilinipiga jeki katika shughuli zangu za kila siku za biashara.
Hali ilikua shwari hadi wakati ambapo maduka yangu yalianza kuvunjwa na kuibiwa kila mara.Maduka yangu yalikuwa yakivunjwa kila baada ya wiki mbili na kuibiwa kila mara. Nilijaribu kuajiri walinzi lakini wengi wao ndio waligeuka kuwa wenye mikono mirefu katika maduka yangu ya kuuzia bidhaa za kielektroniki.
Hii iilikuwa ni fursa nzuri ya wafanyibiashara wenye biashara kama yangu kutia fora kwani wizi ule ulinirudisha hatua nyingi nyuma. Kila wakati ilikuwa ni kurudisha bidhaa zilizoibiwa kwani biashara haingekuwa kamili bila ya bidhaa zingine wakati wowote.
Nilitembea kila sehemu ya nchi nikitafuta suluhisho la kudumu la hali ile lakini ilikuwa ni vigumu kupata suluhisho la kudumu. Siku moja niliamkia kwenye maduka yangu nikapigwa na butwaa punde tu nilipowasili. Maduka yote yalikuwa wazi. Bidhaa zote zilikuwa zimeibiwa.
Nilipoangalia kwenye kamera za CCTV hakuna chochote nilichoona. Sikupoteza imani na biashara ile kwani nilitafuta mikopo kwenye benki na nikafungua biashara zile upya. Wakati huu niliajiri walinzi wengi ili kuepukana na wizi wa kila mara kwenye biashara zile.
Biashara zile zilikaa kwa muda wa mwaka mmoja bila ya wizi wowote kufanyika hali ambayo ilileta mapato mengi zaidi. Nililipa mikopo yangu niliyokuwa nayo na hapo nikajipiga kifua kwamba wizi ulikua umetokomea na tukauzika katika kaburi la sahau.
Huu ulikua tu ni mwanzo wa mahangaiko. Maduka yale yalivunjwa mara nyingine ambapo mara hii yaliteketezwa moto pia ili kufanya nisiweze kufungua biashara kwa mara nyingine iwapo nilikuwa na wazo kama hilo.
Sikuwa na lolote la kufanya ila kusalimu amri na kukaa nyumbani mzongo wa mawazo ukinikumba. Hali hii ilipelekea vidonda vya tumbo kunikosesha usingizi kwani nilikuwa mwadhiriwa. Marafiki wote walinitoroka kwani kila waliponiona walidhani ilikua fursa yangu ya kuwaomba mikopo.
Kampuni ya bima niliyokuwa nimejisajili nayo pia ilidinda wakati ule kunipa fidia ili nifufue biashara yangu kwa mpigo. Nilipoteza tumaini kabisa wakati ule. Mke alinikimbia pamoja na watoto kwani singeweza kukimu mahitaji ya familia.
Nilitembelea waganga mashuhuri kwa ushauri lakini kila mara pesa zangu ndizo zilikua zikiisha.Wahubiri wa makanisani pia walijifanya kua na uwezo wa kutatua shida yangu lakini yote yaliambulia patupu kwani nilipanda mbegu kila mara jumapili kuwatajirisha tu.
Kila mtu kwenye mtaa nilipokua nikiishi alinifahamu kwani nyumba nilikua nimefungiwa kwa ukosefu wa kodi.
Nilikuwa nimechakaa ajabu. Hakuna mahali popote ningekopa mkopo ili nianzishe biashara upya kwa kuwa tayari mikopo niliyokuwa nayo nilikuwa nimefika ukiongoni wa kuongezea mikopo mingine kwa wakati ule.
Nilipokuwa nikisoma mitandaoni kuhusu kazi nyingine ambazo ningefanya, nilipatana na wavuti www.kiwangadoctors.com palikuwa na nakala ambazo watu wengi walikuwa wamepitia shida kama yangu kwenye biashara zao lakini madaktari wa Kiwanga walikuwa wamewasaidia kusuluhisha.
Nilifuata maagizo ya jinsi ningewafikia. Siku iliyofuatia niliwasili katika ofisi zao mjini Nakuru tayari kuzika swala zima la wizi kwenye kaburi la sahau.
Nilihudumiwa na kurejea nyumbani. Baada ya siku tatu, kampuni ya bima ilinipigia simu ya kwamba ingegaramia maduka yangu yote yaliyoibiwa na kuteketezwa moto. Baadaye nilifungua biashara zangu kwa mpigo na tangu siku ile hakuna siku hata moja maduka yangu yamevunjwa kwa kuwa hali ilikua shwari.
Mtu yeyote anayekumbwa na mambo ya wizi katika biashara kama nilivosumbuka anaweza watembelea madaktari wa Kiwanga kwa usaidizi.
Watembelee leo upate suluhu kwa matatizo yanayo kutatiza.
Tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com. Pia waweza kumpigia simu kwa nambari +254 769404965 au tuma ujumbe wa kielectroniki kwa kiwangadoctors@gmail.com.








Naona siku hz mnapigia promo ushirikina, michezo imewashinda... Hii blog ya michezo au mambo mchanganyiko, kuweni wazi tujue
ReplyDeleteDah ! Hii Blog ina-promote ushirikina tena ? kweli mmekosa uelekeo !
ReplyDelete