Wachina tena 😂 daah waandishi wetu
Kazi kweli kweli, dili la bil 2, kuwa bilioni 4.6 za Wachina? Ngoja hadi dirisha lifungwe tutasikia mengi.Hivi kwa nini kila mchezaji wa Yanga anayesajliwa anakuja kuwapa makombe? Ina maana anacheza peke yake uwanjaji?
Kwa sababu hawana makombe =)) =)) =))
YAWEZEKANA IKAWA KWELI KWAMBA WACHINA WANAMTAKA, LAKINI SIO KWA BILIONI 4, HAPO MWANDISHI AMETIA CHUMVI, MO ANATAKA HELA NA NDIYO MAANA LUIS HAJAACHWA AENDE ALAFU PESA IJE NYUMA, "YOU PAY, YOU GET WHAT YOU DESERVE". STORY ZA KINA RAGE HAZITAKIWI,
Hapo kweli kabisa. Aondoke kwa mali kauli baadaye walipate hiyo hata mimi sijakubaliana.
Wachina tena 😂 daah waandishi wetu
ReplyDeleteKazi kweli kweli, dili la bil 2, kuwa bilioni 4.6 za Wachina? Ngoja hadi dirisha lifungwe tutasikia mengi.
ReplyDeleteHivi kwa nini kila mchezaji wa Yanga anayesajliwa anakuja kuwapa makombe? Ina maana anacheza peke yake uwanjaji?
Kwa sababu hawana makombe =)) =)) =))
DeleteYAWEZEKANA IKAWA KWELI KWAMBA WACHINA WANAMTAKA, LAKINI SIO KWA BILIONI 4, HAPO MWANDISHI AMETIA CHUMVI, MO ANATAKA HELA NA NDIYO MAANA LUIS HAJAACHWA AENDE ALAFU PESA IJE NYUMA, "YOU PAY, YOU GET WHAT YOU DESERVE". STORY ZA KINA RAGE HAZITAKIWI,
ReplyDeleteHapo kweli kabisa. Aondoke kwa mali kauli baadaye walipate hiyo hata mimi sijakubaliana.
ReplyDelete