August 11, 2021

 


KIKOSI cha Simba kimewasili salama Morocco ambapo kimekwenda huko kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22.


Mabingwa hao watetezi walisepa ardhi ya Tanzania jana Agosti 10 na waliweka kambi kwa muda Dubai kabla ya leo kuendelea na safari kuelekea Morocco. 


Wakati wa kuripoti kambini ni Jonas Mkude ambaye alisimamishwa kutokana na utomvu wa nidhamu alikuwa miongoni mwa wachezaji wa mwanzo kuripoti kambini.


Kwa mujibu wa Kocha Mkuu, Didier Gomes amesema kuwa maandalizi watakayofanya yatakuwa na matokeo chanya katika msimu ujao.

Pia yupo mfungaji pekee aliyepachika bao ma ushindi katika mchezo wa Kombea Shirikisho kwenye fainali dhidi ya Yanga, Taddeo Lwanga. 

5 COMMENTS:

  1. Kila la kheri Mnyama

    ReplyDelete
  2. "Utomvu" wa nidhamu maana yake nini? Neno sahihi ni "utovu." Nyie waandishi mmesoma shule zipi?

    ReplyDelete
  3. Wakimataifa tunamuaminia kafanyeni kweli uko morocco na mkude akizingua uko muacheni alud kwa miguu

    ReplyDelete
  4. Nidham, juhudi na kuelewana ndio siri ya kufaulu kwa Mnyama

    ReplyDelete
  5. Nasikia watani nao wanatufuata next year twendeni zetu Ulaya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic