VIDEO: MZEE WA MAJENEZA AWAPA SOMO MASHABIKI WA YANGA, KUMUUZA KISINDA JAMBO BAYA
MZEE wa majeneza awapa somo mashabiki wa Yanga,aweka wazi kuwa ni jambo baya kwa nyota wao Tuisila Kisinda kuondoka wakati wakiwa bado wanamhitaji. Pia ameweka wazi kuwa kwa ofa ambayo wamepewa lazima wakubali wakigoma mchezaji atakwenda bure.







Tuna Aucho tayar hata mukoko akiuzwa pia fresh tu mmbona
ReplyDeleteEndelea kujifariji ila ukwel mshapigwa tyr
Delete