August 7, 2021

5 COMMENTS:

  1. Inauma Sana Wallahi. Donda la Morrison lingali bichi Simba wanakwenda kuchukua jiti na kuzamisha kwenye kidonda kazi ipo☹️.

    ReplyDelete
  2. Uliyekoment apo juu unafahamu kinachoendelea simba, muda si mrefu kuna watu watakana vilabu vyao humu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hajui kuwa siku hizi ni kambale SC kila mmoja ana sharubu;si baba sio mama wala watoto,wote wanakoromeana

      Delete
  3. Kinachoendelea Simba ni mchakato wa kuipeleka Simba kwenye uendeshaji usiokuwa wa makandokando. Wakati mchakato huo ukiendelea baadhi ya wale wa makandokando wameanza kujiengua na kujaribu kuleta fitina ndani ya Simba akidai hakutendewa haki lakini uzuri ni kwamba tayari wapo nje ya Simba .Ila Yanga wasidaganganyike kuwa ndani ya Simba Kuna mgogoro itakula kwao.

    ReplyDelete
    Replies
    1. yanga wanatakiwa kuwa makini na propaganda na ideology zao, wanatakiwa kujipanga kivyao na sio ile zama ya kuombea mtu adondoke. MO ameweka maela yake pale tayari unadhani ataacha mtu alete OFYOLO NDANI YA KLABU? IMBA SIO YA MO, ILA KUNA PESA ZAKE MLE, ATAUA MTU PALE SIO UTANI

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic