VIDEO: YANGA:KILA MTU ANACHEZA KWA KIWANGO AMBACHO ANACHO
BAADA ya timu ya Yanga kuondolewa kwenye hatua ya makundi ya Kagame Cup kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Express wamesema kuwa huwezi kumlazimisha mtu kucheza vile ambavyo hawezi. Walikuwa wanahitaji kombe hilo la Kagame hivyo watajipanga kwa wakati ujao.







0 COMMENTS:
Post a Comment