VIDEO:KAPOMBE ATAJA SABABU YA SIMBA KUFANYA VIZURI, AFUNGUKIA KAMBI YA MOROCCO
BEKI wa Klabu ya Simba, Shomari Kapombe amesema kuwa wanaamini kwamba Mungu akileta kheri msimu ujao watafanya vizuri, kuhusu kilichowafanya wafanye vizuri ni mapambano pamoja na ushirikiano.







Mungu wenu tu au Alagija,Elisasi na wale wanaokataa magoli halali ya baadhi ya Timu anawapanga yeye Mungu?
ReplyDeleteUtopolo hamna haja kubadili chochote maana timu yenu ni nzur sn kuliko Simba Ila tu Simba inabebwa na nyie utopolo mnaonewa ndo maana hamfanyi vizur... Endeleeni kuamini hivyo hivyo na watu watashuhudia mechi za klmataifa muda c mrefu wataona jinsi mtakavyofanya vizuri ili kudhihirisha kuwa ligi ya ndani mnaonewa
ReplyDelete