Kama simba wanaofa inayomtaka Chama kununuliwa basi wamuuze haraka kwani inaonekana yeye mwenyewe analazimisha kuuzwa.Inaonekana yupo tayari kuupiga mwingi nje ya uwanja.Ni proffesional player yupo Tanzania kwakuwa analipwa la sivyo asingekuja Tanzania. Inashangaza kwa Manara na wale wapumbavu wote wanaomshabikia.Yeye Manara Kama bifu lake na Mo na Barbara sawa ila ajihadhari na Simba tena Sana. Manara amesikika Mara kadhaa akimsifia Senzo. Lakini bila ya Mo Manara angemjua wapi Senzo.Bila ya pesa za Mo Manara angemjua wapi Chama? Hao Yanga wenyewe bila ya Mo wangemjua wapi Senzo? Mo anahaki yakuwa na hasira kutokana na ujinga wa Manara tunaoushabikia. Manara hakufuata taratibu yakuwasilisha madai yake ndani ya Simba. Kaamua kulipuka watu wa Simba wamempuuza bado anajing'ang'aniza Simba kuleta choko choko nini zamira yake? Anataka Mo aondoke Simba? Akeshaondoka Mo yeye Manara atanufaika na Nini? Au asiondoke Mo ndani ya Simba lakini timu ikashindwa kufikia malengo yake iliyojiekea kutokana na chokochoko zake yeye Manara, ndivyo anavyotaka ili ajekusema Simba haifanyi vizuri kwa sababu yeye hayupo Simba? Inashangaza pia kuwa Simba wameweza kufanya kazi na Manara kipindi chote hicho.kwa sababu anaonesha ni mtu mwenye matatizo Sana.
Mjinga wewe labda wewe ndio mgeni Tanzania usio ijua historian ya mpira wa Tanzania na Simba na Yanga. Kuna mtu anaitwa Azim Dewji..mfuatilie huyo Mtu ndani ya Simba halafu fuatilia yeye na Mo wako vipi? Manara kaja Simba kwa bahati mbaya ni mtu wa Yanga asilia na kweli safari ya kunguru kamwe hawezi kuwa ya kudumu kwenye kundi la Yangeyange, Manara mwishowe kajizihirisha yeye ni nani. Lakini Marehemu Akili Mali alikuwa wazamani Sana ndani Yanga kuliko Manji Ila Manji alipoondoka ndani ya Yanga na Yanga ya ukweli ikaondoka mpaka Sasa wanajitafuta. Inashanhaza Manara Jeuri anaipata wapi ya kuhatarisha kufeli kwa project Kubwa iliokwisha anzishwa ndani ya Simba. Watu wa Simba wakiendelea kumchekea Manara kumchokonoa Mo basi wasije kuja kulia na Dunia. Na si watu wa simba tu Mtanzaniia yeyote mpenda maendeleo sidhani kama anafurahia ujinga wa Manara.
Sote tunajua Manara ni yanga. Anachofanya sasa ni hujuma nje ya simba baada ya kukamatwa na mzoga mdomoni. Yeye hajui kuwa maovu yake yote tunayo na ipo siku yatawekwa hadharani
Kama simba wanaofa inayomtaka Chama kununuliwa basi wamuuze haraka kwani inaonekana yeye mwenyewe analazimisha kuuzwa.Inaonekana yupo tayari kuupiga mwingi nje ya uwanja.Ni proffesional player yupo Tanzania kwakuwa analipwa la sivyo asingekuja Tanzania.
ReplyDeleteInashangaza kwa Manara na wale wapumbavu wote wanaomshabikia.Yeye Manara Kama bifu lake na Mo na Barbara sawa ila ajihadhari na Simba tena Sana. Manara amesikika Mara kadhaa akimsifia Senzo. Lakini bila ya Mo Manara angemjua wapi Senzo.Bila ya pesa za Mo Manara angemjua wapi Chama? Hao Yanga wenyewe bila ya Mo wangemjua wapi Senzo? Mo anahaki yakuwa na hasira kutokana na ujinga wa Manara tunaoushabikia. Manara hakufuata taratibu yakuwasilisha madai yake ndani ya Simba. Kaamua kulipuka watu wa Simba wamempuuza bado anajing'ang'aniza Simba kuleta choko choko nini zamira yake? Anataka Mo aondoke Simba? Akeshaondoka Mo yeye Manara atanufaika na Nini? Au asiondoke Mo ndani ya Simba lakini timu ikashindwa kufikia malengo yake iliyojiekea kutokana na chokochoko zake yeye Manara, ndivyo anavyotaka ili ajekusema Simba haifanyi vizuri kwa sababu yeye hayupo Simba? Inashangaza pia kuwa Simba wameweza kufanya kazi na Manara kipindi chote hicho.kwa sababu anaonesha ni mtu mwenye matatizo Sana.
Manara anajulikana kabla ya Mo huu ndo ukweli mengineyo ni makelele tu
DeleteWatu wengi wamekuja mjini juzi hawaijui historia ya Manara,Haji ameanza kujulikana kabla hata Mo hajaanza kujihusisha na michupi Sc
DeleteMhh kwa maneno hayo mwogope Mwenyezi Mungu.
DeleteMjinga wewe labda wewe ndio mgeni Tanzania usio ijua historian ya mpira wa Tanzania na Simba na Yanga. Kuna mtu anaitwa Azim Dewji..mfuatilie huyo Mtu ndani ya Simba halafu fuatilia yeye na Mo wako vipi? Manara kaja Simba kwa bahati mbaya ni mtu wa Yanga asilia na kweli safari ya kunguru kamwe hawezi kuwa ya kudumu kwenye kundi la Yangeyange, Manara mwishowe kajizihirisha yeye ni nani.
DeleteLakini Marehemu Akili Mali alikuwa wazamani Sana ndani Yanga kuliko Manji Ila Manji alipoondoka ndani ya Yanga na Yanga ya ukweli ikaondoka mpaka Sasa wanajitafuta.
Inashanhaza Manara Jeuri anaipata wapi ya kuhatarisha kufeli kwa project Kubwa iliokwisha anzishwa ndani ya Simba. Watu wa Simba wakiendelea kumchekea Manara kumchokonoa Mo basi wasije kuja kulia na Dunia. Na si watu wa simba tu Mtanzaniia yeyote mpenda maendeleo sidhani kama anafurahia ujinga wa Manara.
Sote tunajua Manara ni yanga. Anachofanya sasa ni hujuma nje ya simba baada ya kukamatwa na mzoga mdomoni. Yeye hajui kuwa maovu yake yote tunayo na ipo siku yatawekwa hadharani
ReplyDeleteManara ndo mwenye timu amini usiamin ukweli ndo huo la sivyo alipwe nguvu alizowekeza pale
ReplyDelete