VIDEO:YANGA: AUCHO HADI BARCELONA WALIMTAKA KUMPA MKATABA, MANARA ANAWACHANGANYA
SHABIKI mtata wa Yanga amebainisha kuwa nyota wao mpya Khalid Aucho alikuwa anahitajika na timu ya Barcelona ila GSM walimpandia dau. Pia wameongeza kuwa Haji Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Yanga amewachanganya Wanasimba.







Ni kweli Simba Manara amewaachia ombwe wanawewesuka ,lkn Hilo la BAC utani umezidi
ReplyDeleteUongo mwingine unakufanya uonekane mpuuzi
ReplyDeleteManara ndie aliechanganykiwa hakuna mwanasimba anaechanganywa na Mamluki ila zile Tambo za kwenda kuwanusa makalio wachezaji wao wapya pale uwanja wa ndege zimeisha Sasa wamebakia na Tambo za midomoni Cha kushangaza licha ya Yanga kujisifu kuwa Wana kikosi kizuri matumaini yao makubwa ya kuifunga Simba yapo kwa Mzee mpili na choko choko za Manara. Simba wapo kisayansi zaidi Mama mchapa kazi wa viwango Barabara amekwenda Morrocco akaweka Mazingira sawa ya kambi kila kitu sawa Timu Sasa ipo Morocco na hii ndio Siri kubwa ya mafanikio ya Simba(Barbara) na ndio maana wasioitakia mema simba walimuandaa MANARA kumng'oa Barbara kuizofisha Simba. Wale wanasimba tia maji tia maji na wapa ubuyu fumbueni mimacho na masikio msikie kuwa Barbara ndie tishio kwa wale wasioitakia mema Simba. Huyu Manara sio jaribio la kwanza la kutaka kumng'oa Barbara Ila hili la Manara lilipangwa vyema na kwa kiasi kikubwa walietegemea Manara angeshinda vita Ila kilichotokea ndio hivyo tena. Manara ametemwa na mashabiki wa Simba,amebakia na mashabiki fake wa Yanga wanaojifanya mashabiki wa Simba wakimsapoti Manara mitandaoni hata mitaani. Manara amepoteza moja ya legacy muhimu kwenye maisha yake ila Manara kichwa maji kibri kimemtawla hataki kukubali kuwa ameharibu ndani yaSimba.
ReplyDeleteNyota njema inaonekana asubuhi kambi ya siku kumi ya Yanga kambi gani? si bora watulie hapa nyumbani hizo pesa walipie madeni wanaweza kushushwa daraja kesi zikizidi FIFA. Kambi yenyewe ya Morocco ya msaada, kazi ipo.wasi wasi wangu Yanga uwezo wa kulipa mishahara Wachezaji wao msimu huu watakuwa nao ila wacha tusubiri inyeshe tuone panapovuja.
Umenena kweli. Hata mimi vikaoni Jangwani huwazindua....kwa nini sisi yanga tunategemea vitu vitatu. Hujuma. Marefa. Uchawi. Mpaka lini. Naona sipati jawabu Yanga nzima
DeleteYani waandishi wa siku hizi hata mtu akitopoka pombe zake huko wanatuletea humu. Ina maana shabiki na mwandishi wa habari ni yupi tutegemee awe na taarifa za kutosha za wachezaji. Mnafeli sana yani mjue maana weledi katika habari hamna.... Badilikeni nyie
ReplyDeleteAUCHO BARCELONA? AKACHEZE NAFASI YA NANI? ACHA UFALA
ReplyDelete