October 9, 2021

1 COMMENTS:

  1. Katika mpira kunakuwa na makosa yakirekebishwa yanakuwa ni faida,patamu hapo.Sasa kwa ushauri kama ushauri utafika basi kwa mchezo wa kesho Mbwana Samata anatakiwa kuanzia benchi na nafasi yake ichukuliwe na Kibu Denisi. Ni ushauri wa kifundi kutoka kwenye karama. Tanzania ama Taifa Stars tunashinda Kesho na la kushangaza nimewaona watanzania wakiwa kwenye pirika pirika za kwenda katari InshaAllah.
    Samata ana matatizo si ya kimpira bali anaumwa na si lazima awe anaumwa maradhi ya mwili hata kukosa bahati ni maradhi pia na chochote anachosumbuliwa Samata basi lazima atabiwe Tanzania hasa Zanzibar ili awe timamu. Matatizo ya samata na Cris Mugalu wa Simba yanafanana ila ya Mbwana inaonekana yapo serious zaidi. Mugalu nae anatakiwa kutibiwa vile vile ili awe sawa la sivyo ataendelea kutepeta kwenye kufunga magoli. Sijui kwanini lakini kuna mambo ya kijinga au ya kihusda watu wanafikia kuwawekea Mazingira magumu wenzao amini usiamini.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic