September 19, 2014

Mshambuliaji nyota wa Brazil, Lionel Messi amesisitiza viatu vyake vyote kuandikwa jina la mwanaye Thiago.

Alianza kufanya hivyo msimu uliopita, lakini amesisitiza kuwa anataka jina la Messi liondolewe kwenye viatu vyake vinavyotengenezwa na Adidas.
Badala yake jina la Thiago ndiyo litumike na anafanya hivyo kwa kuwa anaamini ni bahati kwake pia kuonyesha upendo kwa mwanaye.
Tayari Adidas imeanza kutekeleza zoezi hilo na mechi iliyopita ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Messi alivaa viatu hivyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic