September 20, 2014


Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amewaondoa presha Simba na kuwaambia maandalizi waliyopata ni bomb asana.

Phiri ameiambia SALEHJEMBE kuwa mechi ya kesho ya ufunguzi wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal itakuwa ngumu, lakini hawatakubali kupoteza.
“Itakuwa mechi ngumu lakini kwa maandalizi tuliyopata, hatutakubali kupoteza.
“Tutajitahidi kadiri ya uwezo wetu, tunataka kuanza na kushinda iwe sehemu ya mwanzo mzuri kwetu,” alisema Phiri raia wa Zambia.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic