September 1, 2014



Kiungo nyota wa Juventus ya Italia, Paul Pogba alitua jana na kushuhudia mechi ya Ligi kuu ya Ufaransa ‘League 1’ huku mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic akifunga mabao matatu.

Ibra ambaye yuko PSG alifunga mabao hayo matatu dhidi St Etienne anayochezea mdogo wake Pogba.
Florentin Pogba alikuwa kwenye kikosi hicho wakati Zlatan akifanya mambo yake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic